BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Kuna huduma muhimu zinapaswa kupatikana kwa gharama ndogo sana kwasababu ya unyeti wake na athari zake kwa Nchi na Uchumi. Mfano huduma ya Intaneti, Matibabu na Elimu kwa ujumla wake. Hizi huduma zilipaswa kuwa zinagharamiwa na Serikali kwa asilimia kubwa sana kupitia rasilimali za nchi.
Mfano kwako, unadhani huduma ipi ilipaswa kupatika bila malipo?
Mfano kwako, unadhani huduma ipi ilipaswa kupatika bila malipo?