Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Para ya pili toka mwisho inamaana sana, vyeo vitangazwe, au mtu akichaguliwa na Raisi adhibitishhhwe na kamati ya bunge ya utumishi itakayondwa na wabunge mchanga yuko. Wakiona Hana tija kwa taifa, wanatoa mrejesho anatafuta mwingine.Tangu iingie awamu ya Tano Mtendaji wa serikali ni mmoja tuu.
Hao wengine ni watu waliobahatika kupata fursa za kula Bata Kwa Kodi ya Watanzania.
Mtendaji ni Rais TU labda kidogo na Waziri Mkuu.
Mawaziri walikua ni Wanne TU mpaka Sasa :-
Lowasa (Maji ) aliibuliwa na Mkapa.
Lukuvi ( Ardhi) aliibuliwa na Kikwete
Magufuli (Ujenzi ) aliibuliwa na Mkapa.
Mrema (Mambo ya ndani) aliibuliwa na Mwanyi.
Magufuli hakuibua Wazirj na Mtendaji mwenye uwezo mpaka anaondoka Duniani!
Mama Samia mpaka Sasa Hana Waziri zaidi ya yeye Mwenyewe kuupiga mwingi lakini Hana wafungaji, ni sawa na Kocha asiye na wachezaji wa uhakika anayeamua kuwa Mchezaji kumsaidia kipa , beki na mshambuliaji; wakati huo huo akiwa kocha. Kuna Mchezaji wa Simba zamani alikua anaitwa Hassan Hafifu alikua anacheza na kumiliki uwanja mzima. Alikua ni kocha Mchezaji.
Angalau kidogo Waziri ambaye akijipanga vizuri anaweza akaimudu kazi yake ni Nape mpaka Sasa angalau anaonyesha kuwa anaweza japo siasa za uchama zimemzidi.Na pia Bado anakashfa ya kushiriki katika kujenga mifumo ya dhulma za kisiasa na kufanya viongozi wasiofaa kupata fursa za kutangazwa washindi Kwa nguvu wakati wa uchaguzi. Hii laana aitubie ili apate Kibali.
Nape akiweka pembeni uchama na kuweka mbele maslahi ya Nchi atakua Waziri Bora sana. Hana Kashifa Wala tamaa za kujimilikisha Mali za dhulma dhulma.
Makonda akirudia shule na kusoma Kwa cheti chake Cha Jina lake halisi la Albert na kuondoa ubini wa Bashite mana Bashite limekua kama msamiati mpya wa mtu mwenye vyeti feki ,atakua ni Kiongozi mzuri aondokana na chuki za kivyama na ajifunze Nini maana ya Demokrasia na uhuru na haki za binadamu kuishi.
Mtu pekee anayeweza kuwa Waziri akàcha Alama ndani ya CCM Kwa Sasa ni Antoni Mtaka RC Dodoma.Napendekeza Anton Mtaka ateuliwe kuwa Mbunge na Kisha apewe Naibu Waziri Wizara ya ujenzi amsaidie Mbarawa kusimamia Hawa TARURA na Tanroad Wajenge Miundo Mbinu za vijijini Kwa Kasi na Kwa viwango .
Gwajima na Mwenzake
Ndalichako
Wanapaswa kuwekwe kwenye kamati ya Elimu na Afya bungeni lakini sio kuwa Mawiri.
Ningekua Rais ningeweka nafasi za uwaziri wazi watu waombe na kila mmoja aseme anaweza kuongoza wizara Gani na ataje changamoto zake na namna atakavyoshughulika nazo. Pawe na kiapo na ajiwekee mwenyewe muda wa kuyatekeleza hayo na asipoyatekeleza achukuliwe hatua Kali ikiwa ni pamoja na kuchunguzwa na akibainika alizembea Kwa sababu ya kushirikiana na mafisadi basi afilisiwe kabisa. Anayefanya vizuri apewe bonasi ya mil. 500 kila Baada ya miaka mitano na wananchi ndio watatoa tathmini ya Waziri Bora. Waziri atalazimika kuwa mbunifu na kuongeza uzalishaji na kubana mianya ya matumizi mabaya ya wizara.
Leo hii ukipita Huko Halmashauri ni vikao TU wiki nzima sijui pesa wanapata wapi za vyakula ,maji na soda halafu Waziri yupo, viongozi wa Chama kwenye Wilaya wapo wanaangalia TU pesa za wananchi zinaliwa Kwa Tenda za kuuza chakula na vinywaji Kwa Mwezi vikao ni zaidi ya siku kumi. Matumizi mabaya ya serikali. Waziri Muhusika apumzike mana hii nchi sio ya ukoo wake Wala ya Babu yake kwamba uwaziri ni urithi wake. Yes. Mawaziri wasiofaa wapumzishwe.
Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.
Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.
Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?
Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.
This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?

Hapana mpaka Sasa hajathibitishwa kuwa aliiba wapi zaidi ya harakati za KIMTANDAO za kumtoa kwenye nafasi ya kupata Urais. Waliona alikua na kila nafsi za kupata Urais kama alivyo Ruto na Uhuru.2-3 excellent
1 hakuwa mwadilifu
orBashe mwondoe kwenye orodha hiyo.
Kwa taarifa yako Lukuvi amekuwa waziri tangu 1995 Mkapa akiingia madarakani akiwa waziri katika ofisi ya waziri mkuu wakati huo Sumaye na akaendelea katika wizara tofauti kwa awamu zilizofuata ( lakini siyo wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi. Wizara ya ardhi alianza awamu ya tano ya JPM).Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.
Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.
Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?
Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.
This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?
Mtaje Waziri mmoja TU aliyeupiga mwingi Kwa kuibuliwa na JPM. Yaani aliyeweza kufanya kazi kama yeye wakati alilipokuwa Waziri wa Ujenzi. Ndio maana alikua anawafokea hadharani mana walikua wapo underperformance isipokuwa Lukuvi peke yake.Hayo ni maoni yako japo umeandika kurasa nyingi mno.
Huyo wazir kapata remote hpo wizaran. Hanna maamuzKuhusu Riz hata kama Kuna grievances kwakweli ana mwezi sijui unawezaje kujenga hoja kwamba aondolewe na wakati unaona kila siku yupo field na Waziri wake hata hasikiki. Hii sijui mnaichukuliaje Ila hata kama Kuna mengine Ila kusema aondolewe sioni kama ni sawa ingali hata Waziri wake alichelewa kuapa na hasikiki pamoja labda ndio mpangilio wa kazi walivyogawana.🤷
Mbna Kina lukuvi kawatoa.. awamu ya Tano na sita kiukwel haijatoa mawazir wenye uthubutu, labda kangi lugola alithubutu, Jpo mwishon alionekana kituko. Itachukua muda na wengi wanaonekana waoga kuthubutu maana hizo nafasi muda wowote unatolewa ubabaki kuchekwa na kidhihakiwa na watu. So wengi wamejifunza kufanya vitu vyao kimya kimya. Jafo Naye mwanzon alipopewa tamisem alikuwa mkali sana baadaye akalegeaMtaje Waziri mmoja TU aliyeupiga mwingi Kwa kuibuliwa na JPM. Yaani aliyeweza kufanya kazi kama yeye wakati alilipokuwa Waziri wa Ujenzi. Ndio maana alikua anawafokea hadharani mana walikua wapo underperformance isipokuwa Lukuvi peke yake.
Hata Makonda aliibuliwa na JK na kupewa uDC kinaondoni.Japo alijisahau na kufanya mambo ya hovyo lakini alikua ana mwangwi wa uthubutu na alikua anafaa kuwa mnyapara endapo angeenda Gerezani.Angekua na cheti chake hata kama ni Cha Nursary angefaa sana kuwa Waziri wa wizara Moja wapo inayosumbua. Ana uwezo wake binafsi wa kuthubutu. Kwa Sasa ameshanuka kama muuza butcher. Hafai Tena !!
Sijasema kuwa Tatizo ni JPM kwenye kuwaibua Mawaziri wenye uwezo au askari wa mwavuli la hasha tatizo ni Chama Cha Mapinduzi kuondoka kwenye dira ya kuandaa viongozi na kubaki na mfumo wa viongozi chawa na Sasa mama anapata shida ya kupata viongozi ndio maana anateua angalau wazoefu wa awamu za zamani ili wamsaidie.
Khee! Hata kipindi cha probation bado! Halafu angalau ungekuwa specific flani amefail ktk nini? Kwa mfano, Ridhiwan ndiyo unamuonea tu. Hiki ulichokiandika ni fallacy generalization.Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.
Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.
Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?
Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.
This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?
Ni marcenary!! Ikitokea vita na somalia atatugeuka.Magu kamwibua bashe
Kuna Wilaya Moja nilifika nikamwona DED nikajiuliza huyu alipataje kazi hiyo mana Hana sifa kabisa hata maadili ya kitanzania na Kiafrika Hana. Yupo kama fasheni TU lakini hakuna ubunifu wowote. Tukiwa na teuzi za kama tu unyapara gerezani ambapo hakuna ubunifu hatutaweza kuendelea.Para ya pili toka mwisho inamaana sana, vyeo vitangazwe, au mtu akichaguliwa na Raisi adhibitishhhwe na kamati ya bunge ya utumishi itakayondwa na wabunge mchanga yuko. Wakiona Hana tija kwa taifa, wanatoa mrejesho anatafuta mwingine.
Wakisharudisha nyumba za Serikali,labda Beatrice Kamugisha atachaguliwa kuwa waziri.Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo?
1. Profesa Ndalichako
2. Dorothy Gwajima
3. Dr. Jafo
4. Jenister mhagama
5. Ndumbaro
6. January
7. Mwigulu
8. Masauni
9. Bashe
10. Rizi
Hawa Mawaziri speed Yao ya ubunifu hapana, aidha wameshindwa kubeba maono ya wizara wanahitaji kupewa Wizara mbadala au uwezo wao ndo umeishia hapo.
Kama wanasoma hizi posts watambue Wana kazi kubwa ya kufanya utafiti na ku identify gap kwenye Wizara zao Kisha waje na strategy itakayowafanya waonekane wamelifaninyia Taifa Jambo jipya.
Strategy ya kutangaza matumizi ya mgawo wa Fedha wanazopewa siyo sahihi wanapaswa kutuambia wanasaidiaje walipa Kodi Ili Wizara zao ziwe na mgao mkubwa zaidi?
Mikakati ya kuongoza Wizara haiwezi kupatikana Kwa mganga wa kienyeji; inatoka Kwa Mungu Kupitia watu waliokuzunguka pamoja na juhudi za kutumia muda wako kuilinda dhamana uliyopewa. Wapo wengi awamu iliyopita walichanja chale wapate madaraka Lakini wapo benchi; waliomtegemea Mungu wanaendelea kupata iliyohaki Yao bila kujali kuharibu maisha ya wengine.
This is wake up call, jitahidini Ili mama asitoe press release. 2025 it's just around the corner msimkwamishe mama mkawapa wapinzani agenda. Most of you mpo below 50 mnakwama wapi?
Kwa vigezo vipi?Basing on performance, regarding on challenges in countered since ameingia ofisini na Kwa ujumla ufanisi hafifu; Nani unadhani watoto na familia yake waanze kujiandaa kisaikologia kuondoka kwenye nyumba za Serikali endapo ataendelea kusimamia mikakati ileile na kushughulikia utumbuaji wa watu aliowakuta ofisini badala ya kuwasiadia mission na vision yakuzitoa Wizara hapo zilipo?