Kati ya Mbio wa Alikiba na Hatuachani wa Lavalava upi wimbo mzuri?

Kati ya Mbio wa Alikiba na Hatuachani wa Lavalava upi wimbo mzuri?

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Ijumaa hii kutoka rockstar Alikiba aliachia ngoma mpya iitwayo MBIO ikiwa sambamba na video yake... Usafini nako kutoka kwa Lavalava aliachia ngoma ijulikanayo kama HATUACHANI ikiwa ni audio pekee...
Tukiweka ushabiki pembeni, je kupitia audio za nyimbo hizo mbili ni nani katoa wimbo mkali kuliko mwingine? (Usiongelee video maana Lavalava hajaachia video) [Na pia bila kuangalia nani kafanya nini kwny mziki wa bongo... tuongelee kwny hizi nyimbo mbili tu baasiiii]
Nimeshindwa kuziweka hapa sababu nimeshindwa kuzipakua.... unaweza ukazisikiliza afu ukatoa maoni.
Tiririka hapa tupate mitazamo mbalimbali...............
 
Ujinga ni kufananisha VICHUGUU NA MILIMA...
Kuwa specific nani kichuguu na nani mlima... maana hapa sijaongelea nani kaanza lini au kafanya mangapi kwny mziki wa bongo.... just kwa hizi nyimbo mbili tu
 
Akili zako ni matope, huu wimbo ya Aly kiba haufananishwi na nyimbo yoyote hapa bongo sio the one wala kolokolo
 
Zote mbaya King kaharibu sana Lavalava ndo pumba kabisa.

Lavalava angeendelea kupita kwenye ngoma yake ya kilio mulemule hii ni MBOOOVUUU
 
Ujinga ni kufananisha VICHUGUU NA MILIMA...
Uchokozi mwingine sijui ni wa nini. Sasa mimi kichuguu ambaye hata muziki siujui asili yake bali ninajua mchwa na nguchiro tu nimeinigiaje kwenye mjadala huu. Hebu apolojaize bwana.
 
Alikiba mbio ipo Juu kileleni hakuna wa kufanannishwa naye hapa TZ
 
Back
Top Bottom