Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 968
- 2,034
Ijumaa hii kutoka rockstar Alikiba aliachia ngoma mpya iitwayo MBIO ikiwa sambamba na video yake... Usafini nako kutoka kwa Lavalava aliachia ngoma ijulikanayo kama HATUACHANI ikiwa ni audio pekee...
Tukiweka ushabiki pembeni, je kupitia audio za nyimbo hizo mbili ni nani katoa wimbo mkali kuliko mwingine? (Usiongelee video maana Lavalava hajaachia video) [Na pia bila kuangalia nani kafanya nini kwny mziki wa bongo... tuongelee kwny hizi nyimbo mbili tu baasiiii]
Nimeshindwa kuziweka hapa sababu nimeshindwa kuzipakua.... unaweza ukazisikiliza afu ukatoa maoni.
Tiririka hapa tupate mitazamo mbalimbali...............