GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakupenda pia Genta wa shunie uwe na kazi njema [emoji8][emoji8][emoji8]Shunie My Dear na log out sasa Saa 10:15 hii ya Jioni na tutaonana tena hapa hapa Saa 4:00 usiku ambapo nitakuwepo hadi Saa 6:00 usiku. Kila la kheri na Nakupenda mwaaaaaahhhhhhh.
Nakupenda pia Genta wa shunie uwe na kazi njema [emoji8][emoji8][emoji8]
Padri na albadiri wap na wap.Mkuu Mimi nilishasema kuwa sina tena mpango wa Kuoa na hapa mwenzako najiandaa rasmi kuanza Masomo ya Theolojia ili baadae nije kuwa Padre ( Kasisi ) ili nianze tu kuwapa Waumini neno zuri la Mungu kutoka katika Injili mbalimbali. Hakuna Watu ninaowaogopa duniani kama Wanawake na hakuna Watu ambao siwaogopi duniani kama Magaidi na Wasiojulikana.
Padri na albadiri wap na wap.
Juzi juzi umetangaza ujinga wa kusoma alibadiri leo unajitia unataka kuwa padri.
Wewe utakuwa mgonjwa kama magufuli sio bure.
Umesamehewa dhambi zako. Chat kwa amanUkimaliza utaniambia tafadhali kwani huwa sipotezi muda na Watu ambao wametokana na Shahawa chafu zenye Funza wa Chooni na Makohozi ya TB za waliowasababishia uzao wao hadi leo hii tupo nao duniani.
Umesamehewa dhambi zako. Chat kwa aman
Nasisitiza tena dhambi zako zmesamehewa . Usitende dhambi tena.Imeshapenya hiyo na siku nyingine uwe unakaa mbali sana na hii ' Brand ID ' kwani huwa ina sifa Kuu mbili tu. Ukija Kistaarabu Kwangu nami nitakuonyesha Ustaarabu wangu hadi utashangaa ila ukija Kihuni / Kisela ndipo hapo sasa hata Mmi nitakuonyesha Uhuni / Usela wangu tena ule wenyewe wenyewe. Siku zote Maji ya Kina Kirefu hayajaribiwi kwa Kidole utazama tu na Kufa.