GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]GENTAMYCINE kwanini tusiujadili mdomo wa wifi yetu yaani mke/mchumba wako wewe mwana jf uliyetukuka?
Hahaha umeniweza, kila nitakalo kwambia halitakua na nguvu kwani huwezi kupigana na ASIYEKUPIGA, nitaonekana mwonevu
kwi kwi kwiii padre tenaMkuu Mimi nilishasema kuwa sina tena mpango wa Kuoa na hapa mwenzako najiandaa rasmi kuanza Masomo ya Theolojia ili baadae nije kuwa Padre ( Kasisi ) ili nianze tu kuwapa Waumini neno zuri la Mungu kutoka katika Injili mbalimbali. Hakuna Watu ninaowaogopa duniani kama Wanawake na hakuna Watu ambao siwaogopi duniani kama Magaidi na Wasiojulikana.
kwi kwi kwiii padre tena
SawaaaUtamfanya Shunie ' anibwage ' bure. Bora tu nifanye nae hili Tangazo kwani Yeye hana tu mdomo wa Kula Ndizi iliyoiva au Pipi Kidungu bali ana mdomo wa Kulamba kabisa Chocolate kubwa na Nyeusi iliyotukuka.
Hahahahaha usimuache banaKama huyo hapo katika Avatar ni Wewe Mkuu basi naona safari ya kutafuta sababu ya Kimakusudi kuachana na Shunie imewadia.
sawa mkubwa,me nampendekeza mobetoTena nikiwa Padre nadhani nitafanya vyema mno katika ' Mahubiri ' na kuwabadilisha Watu kwani ' dhambi ' nilizozitenda hadi sasa nikikaribia tu mlangoni kwa Mwenyezi Munga nageuka kuwa Kuni ya Kuchochea moto hapo hapo.
Hahahahaha usimuache bana
Zanaki vs Tutsi balaa.Yaani ukitaka tu uipandishe sasa hivi ' Mizimu ' yangu ya Kizanaki na Kitutsi Wewe nitajie Timu nisiyoipenda ya Yanga SC.
Weka picha
Mtega mabomu na mtegua mabomu taaluma yao ni moja ujue hiloAfadhali umeushtukia ' mtego ' wangu mapema Mtani na huyo ndiyo GENTAMYCINE ulipoamkia Wewe leo Mimi mwenzako nililala huko juzi.