GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Wema asee ana lips kubwa balaa
Hazifai Kula Ndizi au Kunyonyea Pipi Kidungu Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema asee ana lips kubwa balaa
Si amesema anaogopa wanawake hivyo inajiunga na ukasisi. Sasa kwenye ukasisi si kuna masista ambao ni tayari wanawake ingawaje hakuna mahusiano ya ndoa wala uchumba.Wamefanyaje?
Kumbe huna wito wa huo Ukasisi ila kwa kuwa unawaogopa wanawake
Hz mada za geñta za skuhiz
Nouma kweli
Mmmmh nimeshtushwa na ujumbe wako[emoji15] mkuu hawa wanawake walikufanyeje?Mkuu Mimi nilishasema kuwa sina tena mpango wa Kuoa na hapa mwenzako najiandaa rasmi kuanza Masomo ya Theolojia ili baadae nije kuwa Padre ( Kasisi ) ili nianze tu kuwapa Waumini neno zuri la Mungu kutoka katika Injili mbalimbali. Hakuna Watu ninaowaogopa duniani kama Wanawake na hakuna Watu ambao siwaogopi duniani kama Magaidi na Wasiojulikana.
Ukiwa Padre, Shunie utamuacha na nani Mkuu?Mkuu Mimi nilishasema kuwa sina tena mpango wa Kuoa na hapa mwenzako najiandaa rasmi kuanza Masomo ya Theolojia ili baadae nije kuwa Padre ( Kasisi ) ili nianze tu kuwapa Waumini neno zuri la Mungu kutoka katika Injili mbalimbali. Hakuna Watu ninaowaogopa duniani kama Wanawake na hakuna Watu ambao siwaogopi duniani kama Magaidi na Wasiojulikana.
Mmmmh nimeshtushwa na ujumbe wako[emoji15] mkuu hawa wanawake walikufanyeje?
Mbona ni viumbe vizuri tuu ukivijulia
Ukiwa Padre, Shunie utamuacha na nani Mkuu?
Wema SepetungaTupe picha zao wengine hatuwajui mkuu
Teh
Umetumia sana nguvu bila hata sababu,mbona haki yako kujibu unavyo kisikia wala usijali,na kama kukuuliza kama ni wewe kweli kosa SAMAHANI SANA TENA SANAAAAA usijikere bila sababu hua sipendi kumuudhi mtu.GENTAMYCINE hajawahi kubadilika humu JF labda Wewe na hao Wenzako waliokupa ' Likes ' hapo akili zenu ndizo zimebadilika. Labda uniambie ili nionekane Mimi ni GENTAMYCINE uliyemzoea unataka niweje? Halafu nilishaonya humu mapema tu kwamba sipendi Kupangiwa nini cha Kuwasilisha humu na ni jambo rahisi sana kama unaona ' Maandiko ' yangu yanakukera au huyapendi acha kuyafungua au kurahisisha kabisa zoezi niweke katika ' Ignore List ' yako ili upumzike nami. Hivi unajua kwamba nimeanzisha huu Uzi nikiwa ' serious ' kabisa? Sasa kwanini nyie kila mara mnataka kunihisi Mimi ndivyo sivyo? Mnanilipia ' bundle ' ya Mimi kuwepo humu? au labda mnanidai chochote ili ikibidi nijitahidi niwalipe hata kwa awamu awamu? Kiukweli nisiwaficheni nachoka na hizi ' Kauli ' zenu za kila Uchao na msipobadilika kila siku nitakuwa nawajibuni ' Kunya ' halafu mninunie zaidi.
Kwa ufafanuzi zaidi wa ' Personality ' ya GENTAMYCINE isome vyema ' Signature ' yangu kwani ina majibu yenu yote.
Huyu mtani wangu ameshuka viwango sana, sijui ALBADIR imemfika![emoji23]GENTAMYCINE kwanini tusiujadili mdomo wa wifi yetu yaani mke/mchumba wako wewe mwana jf uliyetukuka?
Watu wa Mara ni zao kutumia miguvu mingi kuua sisimizi kuliko busara.Umetumia sana nguvu bila hata sababu,mbona haki yako kujibu unavyo kisikia wala usijali,na kama kukuuliza kama ni wewe kweli kosa SAMAHANI SANA TENA SANAAAAA usijikere bila sababu hua sipendi kumuudhi mtu.
hahahaha,kazi ipo..Watu wa Mara ni zao kutumia miguvu mingi kuua sisimizi kuliko busara.
Huyu tumemzoea wala asikuharibie siku.
Kama ungemtukana ndio angekuona wewe mjanja
Umetumia sana nguvu bila hata sababu,mbona haki yako kujibu unavyo kisikia wala usijali,na kama kukuuliza kama ni wewe kweli kosa SAMAHANI SANA TENA SANAAAAA usijikere bila sababu hua sipendi kumuudhi mtu.
Hahaahahahah Yooooo GentaaGENTAMYCINE hajawahi kubadilika humu JF labda Wewe na hao Wenzako waliokupa ' Likes ' hapo akili zenu ndizo zimebadilika. Labda uniambie ili nionekane Mimi ni GENTAMYCINE uliyemzoea unataka niweje? Halafu nilishaonya humu mapema tu kwamba sipendi Kupangiwa nini cha Kuwasilisha humu na ni jambo rahisi sana kama unaona ' Maandiko ' yangu yanakukera au huyapendi acha kuyafungua au kurahisisha kabisa zoezi niweke katika ' Ignore List ' yako ili upumzike nami. Hivi unajua kwamba nimeanzisha huu Uzi nikiwa ' serious ' kabisa? Sasa kwanini nyie kila mara mnataka kunihisi Mimi ndivyo sivyo? Mnanilipia ' bundle ' ya Mimi kuwepo humu? au labda mnanidai chochote ili ikibidi nijitahidi niwalipe hata kwa awamu awamu? Kiukweli nisiwaficheni nachoka na hizi ' Kauli ' zenu za kila Uchao na msipobadilika kila siku nitakuwa nawajibuni ' Kunya ' halafu mninunie zaidi.
Kwa ufafanuzi zaidi wa ' Personality ' ya GENTAMYCINE isome vyema ' Signature ' yangu kwani ina majibu yenu yote.