GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Watu wa Mara ni zao kutumia miguvu mingi kuua sisimizi kuliko busara.
Huyu tumemzoea wala asikuharibie siku.
Kama ungemtukana ndio angekuona wewe mjanja
Wewe wala sikugusi ' Mtani ' na una haki zote za ' Kimila ' kunipiga Mimi ' madongo ' uyatakayo na nimekuruhusu pia ila siyo kwa hao ' Wapuuzi ' wa Makabila mengine ambapo wakijipendekeza tu huwa siwabakishi na nawapa tu ' dozi ' zao murua.