Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali.. Je ww unaonaje
kwanini useme Millardayo mkali???
Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali.. Je ww unaonaje
Ndo kina nani hao? Samahani kwa swali.
samahani ww ni mtanzania au unatoka burundi?
Kwani mtu anayetoka Burundi ndio hana haki ya kujua hao watajwa?
ungekua mtanzania ungewajua.. Kama unaijua tbc lazima utamjua dijaro nakama unaijua clouds fm lazima umjue millard ayo kwann ww unatoka kijiji gani samahani lakini?
Kwa hiyo unadhani Watanzania wote wanaishi Tanzania au wamezaliwa Tanzania?
Unajua JF inasomwa dunia nzima?
Hivi mtu kuandika kwa lugha ya Kiswahili hapa JF maana yake mtu huyo ni Mtanzania?
Angalia wewe mwenyewe umeandika kitu ambacho ni 'conditional'...
Ina maana kama mtu haijui TBC au CLOUDS maana yake hawajui hao watajwa...
Na kuijua TBC FM au CLOUDS FM si lazima kila mtu avijue hivyo vituo vya redio...
Kwani kwa nini useme D"jaro
samahani ww ni mtanzania au unatoka burundi?
nijibu kwanza ndo uulize.......