Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali.. Je ww unaonaje
Kwani mkali ndo nini?
Kwanini uwapambanishe mzee na kijana??
Kipindi cha Djaro hakina ubunifu? au sijaelewaBoth are good sema D'jaro yupo kwenye chombo ambacho hakina mvuto kwa wasilikizaji na hakina ubunifu
Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali.. Je ww unaonaje
Kipindi cha Djaro hakina ubunifu? au sijaelewa