Kati ya Millard Ayo na Dijaro Arungu, Nani Radio Presenter mkali?

Kati ya Millard Ayo na Dijaro Arungu, Nani Radio Presenter mkali?

Ila kwa kweli mbwa wangu ni wakali kushinda hao raia wote hapo.
 
Bahati mbaya sana TBC huwa siifungui mwaka wa sita sasa.Huyo DjHARo sijui D`UHARO hata simjui.
Milard Ayo hata kama sio mpenzi wa redio lazima jembe lile utalijua tu.Kama maji utamkuta popote tu anafanya yake na utamkubali.
Halafu mleta Mada naomba umuombe Radhi Milard Ayo kwa kumlinganisha na kina Kingwendu.EBBOO
 
Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali.. Je ww unaonaje

Kwanini uwapambanishe mzee na kijana??
 
Kiukweli Millard yuko juu ila Djaro mi nampendaga tu alivyo mpole
 
Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali.. Je ww unaonaje

Hii TBC Ndiyo kitu gani? Kijana wetu unamlinganisha Tuberculosis (TBC!
 
Back
Top Bottom