Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
Jana nilikutana na rafiki yangu wa karibu sana wakati tunabadilishana mawazo kuhusu maisha akanishirikisha jambo ambalo limenifanya nifikirie sana. Rafiki yangu ana dada yake ambaye ni mkurugenzi katika shirika moja kubwa la serikali hapa nchini.
Amempa ofa achague kati ya kupewa milioni 10 taslimu au kupewa ajira ya serikali yenye mshahara wa milioni 1 kwa mwezi.
Rafiki yangu akaniuliza, “Wewe kama ungepewa nafasi hii, ungechagua nini?”
Mimi nilimshauri achague milioni kumi afungue biashara.
Kama ingekuwa wewe umepewa ofa kama hii uchague kati ya milioni 10 taslimu au ajira ya serikali ya milioni 1 kwa mwezi ungechagua nini na kwa nini?