Prince Mujubu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 340
- 249
mambo haya yanachanganya mkuu au cjui ni low IQ hii au vp maana hata sielewi hapaLabda tujiulize
-Vipi wanao badilishiwa moyo huwa wanakuwa na hisia mpya ghafla?
Au
-Vipi wanaowekewa mashine?
Maswala yote yanayotutawala yenye uhusiano na hisia iwe ya furaha, huzuni, uchungu na mengine kama hayo ni kazi ya Moyo/roho/heart ila inayotafasiri kwa maana ya kufanya au kupima jambo na ambao ni objective ni Ubongo/Brain!Habari zenu wana jamvi?
Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa source of feelings is our brains until yesterday nilikua namsikiliza Dr mmoja kwenye radio alieleza kuwa moyo unatoa electro magnetic waves ambayo ndiyo source ya hisia mara 1000 zaidi ya ubongo.
Sasa kitu nauliza mimi je Kuna utafit uliwah kufanyika? How come moyo unatengeneza hisia wakat tulijifunza kazi yake ni kusukuma damu?
Je huyu jamaa anatupotosha au yuko sahihi?
Roho ni SoulMaswala yote yanayotutawala yenye uhusiano na hisia iwe ya furaha, huzuni, uchungu na mengine kama hayo ni kazi ya Moyo/roho/heart ila inayotafasiri kwa maana ya kufanya au kupima jambo na ambao ni objective ni Ubongo/Brain!
Ubongo hutafasiri taarifa pasipo upendoleo au hisia tofauti na Moyo ambao maamuzi yake ni subjective!
Spirit ni nini?Roho ni Soul
Yaweza maanisha roho pia lakini hutumika sana kuelezea mzimu.Spirit ni nini?
Hapa kuna vitu umechanganyaHabari zenu wana jamvi?
Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa source of feelings is our brains until yesterday nilikua namsikiliza Dr mmoja kwenye radio alieleza kuwa moyo unatoa electro magnetic waves ambayo ndiyo source ya hisia mara 1000 zaidi ya ubongo.
Sasa kitu nauliza mimi je Kuna utafit uliwah kufanyika? How come moyo unatengeneza hisia wakat tulijifunza kazi yake ni kusukuma damu?
Je huyu jamaa anatupotosha au yuko sahihi?
Kwangu mimi maana ni moja, maelezo tofauti.Nini tofauti ya roho na nafsi?
Hapana ili kutengeneza nafsi unahitaji roho + pumzi... Nafsi ni utambulisho [emoji723]Kwangu mimi maana ni moja, maelezo tofauti.
Vivuli vitatu - JamiiForumsHabari zenu wana jamvi?
Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa source of feelings is our brains until yesterday nilikua namsikiliza Dr mmoja kwenye radio alieleza kuwa moyo unatoa electro magnetic waves ambayo ndiyo source ya hisia mara 1000 zaidi ya ubongo.
Sasa kitu nauliza mimi je Kuna utafit uliwah kufanyika? How come moyo unatengeneza hisia wakat tulijifunza kazi yake ni kusukuma damu?
Je huyu jamaa anatupotosha au yuko sahihi?
Baba, huyu alitaka kuichanganua kwa kiingereza ndio ikanibidi nielezee hivyo.Hapana ili kutengeneza nafsi unahitaji roho + pumzi... Nafsi ni utambulisho [emoji723]
Jr[emoji769]
Wanao badilishwa moyo miongoni mwao hisiya hubadilika. Huwa kama za mwenye moyo halisi.Labda tujiulize
-Vipi wanao badilishiwa moyo huwa wanakuwa na hisia mpya ghafla?
Au
-Vipi wanaowekewa mashine?
mkuu ila Kuna watu wana moyo artificial Kwa upande wao ikojeMaswala yote yanayotutawala yenye uhusiano na hisia iwe ya furaha, huzuni, uchungu na mengine kama hayo ni kazi ya Moyo/roho/heart ila inayotafasiri kwa maana ya kufanya au kupima jambo na ambao ni objective ni Ubongo/Brain!