Kati ya moyo(nafsi,roho) na ubongo, kipi ni chanzo cha hisia?

Kati ya moyo(nafsi,roho) na ubongo, kipi ni chanzo cha hisia?

Ubongo chakula chake maarifa.

Nafsi chakula chake imani.

Taarifa zinapotafsiriwa na ubongo nafsi huzipokea katika mlengo wa.hisia kutegemea na taarifa husika.

Kwa mtazamo.Wangu source ya vyote hivyo ni ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]

Jr[emoji769]
 
Habari zenu wana jamvi?

Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa source of feelings is our brains until yesterday nilikua namsikiliza Dr mmoja kwenye radio alieleza kuwa moyo unatoa electro magnetic waves ambayo ndiyo source ya hisia mara 1000 zaidi ya ubongo.
Sasa kitu nauliza mimi je Kuna utafit uliwah kufanyika? How come moyo unatengeneza hisia wakat tulijifunza kazi yake ni kusukuma damu?
Je huyu jamaa anatupotosha au yuko sahihi?
I wish ningekuwa sina moyo...! Ningeishi lwa raha sana..! Moyo una mambo ya kisenge sana..! Unaweza kuona demu wako , ukaanza kwenda kasi bila sababu..! Unaweza kufa kifala moyo ukisimama..! I wish nisingekuwa na moyo
 
Jenga hoja usiseme najua nini na nini sijui!

Moyo unatoa maamuzi yanayohusisha hisia (emotions, feelings na kadhalika)

Ubongo unachenjua taarifa, unatoa kumbukumbu lakini maamuzi hasa yanayohusiana na hisia ni kazi ya Nafsi soul!

Ndio maana unaweza ukajua kabisa kwa kutumia ubongo kwamba jambo hili ni baya na linamadhara kwangu iwapo nitalitenda (objective reasoning) lakini moyo ukasukuma kulitenda kwa sababu tu umekuwa sympathetically au you feel empathy kwa jambo au mtu flani.

Hawa wanaojilipua unadhani wansukumwa na ubongo au nafsi?
Hakuna suala linalofanywa na mwanadamu bila uhusika wa nafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa zamani JF ilipokuwa kwenye peak yake kulikuwa na vichwa humu hilo swali lingejibiwa tukaelewa wote.
Ila siku hizi JF imefulia, watoto wa Facebook na mashoga wa Insta wamelivamia jukwaa kwa fujo. Don't expect marvelous and mysterious answer.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe upo kundi gani kati ya mashoga wa insta na watoto wa Facebook?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana jamvi?

Naomba kuuliza mwenye ufahamu na haya mambo nadhani hili swala watu wa psychology watakua na ufahamu zaidi.
Kwanza kabisa mimi binafsi kwa uelewa wangu nilikua najua kuwa source of feelings is our brains until yesterday nilikua namsikiliza Dr mmoja kwenye radio alieleza kuwa moyo unatoa electro magnetic waves ambayo ndiyo source ya hisia mara 1000 zaidi ya ubongo.
Sasa kitu nauliza mimi je Kuna utafit uliwah kufanyika? How come moyo unatengeneza hisia wakat tulijifunza kazi yake ni kusukuma damu?
Je huyu jamaa anatupotosha au yuko sahihi?
Moyo ndio kila Kitu aiseee.... mambo yote yanaanzia hapo ndio maana ikitokea stuetion yoyote utaona mapigo ya Moyo yanaenda mbio then inasambaza Vibration kwenye milango ya fahamu tatizo linakua sovled then moyo unapoa....
 
Maswala yote yanayotutawala yenye uhusiano na hisia iwe ya furaha, huzuni, uchungu na mengine kama hayo ni kazi ya Moyo/roho/heart ila inayotafasiri kwa maana ya kufanya au kupima jambo na ambao ni objective ni Ubongo/Brain!

Ubongo hutafasiri taarifa pasipo upendoleo au hisia tofauti na Moyo ambao maamuzi yake ni subjective!
Umeandika as if moyo na roho ni vitu sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukisoma sana bila limit ya imani kwa watu ambao tumesoma elimu nyingi nyingi bila kujali imani kuna jamaa alitokea india anaitwa gautama maarufu kama buddha (awaken one) anasema mind is everything what u think u become maana yake hapa akili ni kila kitu unachofikiria ndio unakuwa , kwa maana kwamba akili ndio source ya kila kitu ambacho kinatokea kwa mwanaadam na ukienda deep kidogo ukaangalia namna akili inavyofanya kazi utabaki mdomo wazi tu kwasababu hadi leo ubongo ndio kiungo ambacho bado ni kigumu kuelewa hata kwenye mafundisho ya dini yanasema akili ndio kiungo cha kwanza kupata uhai na kufanya kazi na kujua mambo kwa ujumla jaribuni kusoma elimu mbali mbali bila kuzuia akili yako utajua vingi sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom