Chanzo Cha hisia sio ubongo
Ubongo ni kiungo Kama ilivyo kwa moyo na vinginevyo_Ila labda upate tofauti kupitia kazi kwamba hii ni ya kuwekea kumbukumbu ile ni ya kusukumia damu n.k
Vipo vichocheo a.k.a gland ndani ya mwili wa mwanadamu ambavyo huusika na uchochezi wa hisia za Kila namna ndani ya mwili wa kiumbe
Na Kuna Master wa hivyo vichocheo ambayo inaitwa pitutal gland Kama sijakosea(a third eye) na hifadhi yake ipo katika ya ubongo
Kwa wale watu wa mambo ya kiroho wanajua thamani ya hiyo kitu huwa unaweza ita pia patakatifu(pitutal gland) pa patakatifu(ubongo) kwa maana ndipo ilipo bahari ya mafikirio yote(imagination) ya mtu
Sasa kwa kuwa lugha yetu ni dhaifu juu ya elimu ya kiroho pia inakuwa ni gumu kidogo kwenye uwasilishwaji
Mtu anaweza akawa na nia ya kulenga kitu hicho kwenye uwasilishwaji wa taarifa lakini mpokeaji akaelewa kivingine labda kulingana na ujuha wa elimu husika
Sent using
Jamii Forums mobile app