Kati ya moyo(nafsi,roho) na ubongo, kipi ni chanzo cha hisia?

na Kuna uhusiano gan kati ya roho na moyo
 
kwa hyo mkuu unataka kuniambia muhusika mkuu hapo ni hzo glands na wala si moyo au ubongo?
 
mkuu ila Kuna watu wana moyo artificial Kwa upande wao ikoje
Moyo artificial?...unamaana kiungo cha kusukuma damu artificial?

Na kwamba kiungo hicho ndani mwake ndio kisima cha feelings na emotions?

Hapa tunaelezea software za Moyo/soul na sio hardware😉
 
Moyo , unafanya maamuz mkuu

Are you sure ?!

Una idea yeyote kuhusu CNS and PNS ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha asante mkuu bila shaka we ni love doctor.
Watu kweli wanaucngzia moyo masking 😁
 
na Kuna uhusiano gan kati ya roho na moyo
Moyo ni Kiungo na Roho ni kile kilicho ndani yake ambacho sio concrete (ni softwire)

Ni sawa na Radio kwa maana ya kifaa ni kizalishwacho na Redio (matangazo)😉
 
Hapa kuna vitu umechanganya
Moyo ni kiungo kwenye mwili wa nyama, na ubongo pia ni kiungo kwenye mwili wa nyama
Halafu nafsi ni ni muunganiko wa roho na pumzi

Jr[emoji769]
bado naona nyota tu mkuu hapa naomba unielezee hii kitu imekaaje kwa ufahamu wako.
 
bila kusahahu macho sbb yakisha ona itatengenezwa feeling na moyo,then brain itatafakali nitanyeje ili nifulfil my feeling.ndo utakuta mwingine ataamuakuiba,km ni mwanamke ataamua kufanya ufuska.
 
Moyo , unafanya maamuz mkuu

Are you sure ?!

Una idea yeyote kuhusu CNS and PNS ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jenga hoja usiseme najua nini na nini sijui!

Moyo unatoa maamuzi yanayohusisha hisia (emotions, feelings na kadhalika)

Ubongo unachenjua taarifa, unatoa kumbukumbu lakini maamuzi hasa yanayohusiana na hisia ni kazi ya Nafsi soul!

Ndio maana unaweza ukajua kabisa kwa kutumia ubongo kwamba jambo hili ni baya na linamadhara kwangu iwapo nitalitenda (objective reasoning) lakini moyo ukasukuma kulitenda kwa sababu tu umekuwa sympathetically au you feel empathy kwa jambo au mtu flani.

Hawa wanaojilipua unadhani wansukumwa na ubongo au nafsi?
 
Hoja yangu ndiyo hiyo ?!

Nmejaribu kukuuliza sababu , am simply a neuro scientist

Labda nltaka nkueleze , labda umenielew vibaya , sory !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja yangu ndiyo hiyo ?!

Nmejaribu kukuuliza sababu , am simply a neuro scientist

Labda nltaka nkueleze , labda umenielew vibaya , sory !

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sijakuelewa vibaya. Nimekuelewa kwa namna rahisi kabisa ya nilivyokuelewa.

Ni ushauri tu nilikupa angalizo. Maana hapa hujui unaongea na mtu wa taaluma gani!

Bahati mbaya sana mjengaji wa hoja mzuri hatangulizi cheo wala utaalamu alionao kutumika kama njia ya kutaka hoja yake ikubaliwe.

Kunahitajika majibu sahihi, kupitia majibu hayo watu watajua uu mtaalam katika eneo gani.

Usi underestimate mtu unayejenga nae hoja...kuna mazingira unaweza kukuta si tu ni mkuu wako bali bia Mwalimu wako!
 
Ingekuwa zamani JF ilipokuwa kwenye peak yake kulikuwa na vichwa humu hilo swali lingejibiwa tukaelewa wote.
Ila siku hizi JF imefulia, watoto wa Facebook na mashoga wa Insta wamelivamia jukwaa kwa fujo. Don't expect marvelous and mysterious answer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo kwenye kundi gani Kati ya hayo uliyoyataja?
 
Sorry zamani ipi? Kwakuwa JF haina hata miaka 20

Jr[emoji769]
 
Hata mahusiano moyo hauhusiki kila kitu kwenye mwili wa mwanadamu kunakua regulated na ubongo, kupenda, kuumia unapotendwa kutoa maamuzin.k. yote hayo yanakua regulated na ubongo.

Kuna nadharia moja inasema Wanasayansi wa zamani wa ugiriki waliamini kwamba moyo ndio sehemu pekee kwenye mwili inayotawala matendo yote ya mwili, hata kuwaza waliamini moyo ndio unawaza. Baadae ikaja kugundulika kwamba moyo ulibebeshwa majukumu ambayo sio yake ila kazi zote ambazo walikua wanafikiri moyo unafanya ikiwa kuwaza, kutoa maamuzi, kupenda, kuchukia, hisia za kila namna zinakua regulated na ubongo. Moyo kazi yake ikabaki kuwa ni organ inayo pump blood to various parts of the body.

Hivyo kupitia nadharia hiyo wapo baadhi ya watu walioamini kwamba kuna kazi bado zinaka zinafanywa na moyo kama maswala hayo ya mahusiano na hapo wengi hawakubali kwamba ubongo ndio unahusika wengi wanaamini ni moyo.

Ni mengi ya kuandika ila kwa muda wako pitia mtandaoni soma juu ya hili na utapata majibu ya tafiti zilizofanywa
 
Mi nadhani moyo na ubongo vyote havihusiki na feelings, watu wengi wanaamini kuwa nafsi inaweza kuwa hai baada ya kuuacha mwili na ikawa na uwezo wa ku-feel na kufanya maamuzi huko ilipo bila kuwa na ubongo wala moyo... kwahiyo jibu hapo ni nafsi/roho ndio yenye uwezo wa kuwa na hisia
 
Moyo kazi yake kusukuma damu hiyo kazi unayoupa ni ya kwako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kuna vitu umechanganya
Moyo ni kiungo kwenye mwili wa nyama, na ubongo pia ni kiungo kwenye mwili wa nyama
Halafu nafsi ni ni muunganiko wa roho na pumzi

Jr[emoji769]
Ubongo chakula chake maarifa.

Nafsi chakula chake imani.

Taarifa zinapotafsiriwa na ubongo nafsi huzipokea katika mlengo wa.hisia kutegemea na taarifa husika.

Kwa mtazamo.Wangu source ya vyote hivyo ni ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…