Kati ya moyo(nafsi,roho) na ubongo, kipi ni chanzo cha hisia?

Ubongo chakula chake maarifa.

Nafsi chakula chake imani.

Taarifa zinapotafsiriwa na ubongo nafsi huzipokea katika mlengo wa.hisia kutegemea na taarifa husika.

Kwa mtazamo.Wangu source ya vyote hivyo ni ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]

Jr[emoji769]
 
I wish ningekuwa sina moyo...! Ningeishi lwa raha sana..! Moyo una mambo ya kisenge sana..! Unaweza kuona demu wako , ukaanza kwenda kasi bila sababu..! Unaweza kufa kifala moyo ukisimama..! I wish nisingekuwa na moyo
 
Hakuna suala linalofanywa na mwanadamu bila uhusika wa nafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe upo kundi gani kati ya mashoga wa insta na watoto wa Facebook?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moyo ndio kila Kitu aiseee.... mambo yote yanaanzia hapo ndio maana ikitokea stuetion yoyote utaona mapigo ya Moyo yanaenda mbio then inasambaza Vibration kwenye milango ya fahamu tatizo linakua sovled then moyo unapoa....
 
Umeandika as if moyo na roho ni vitu sawa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukisoma sana bila limit ya imani kwa watu ambao tumesoma elimu nyingi nyingi bila kujali imani kuna jamaa alitokea india anaitwa gautama maarufu kama buddha (awaken one) anasema mind is everything what u think u become maana yake hapa akili ni kila kitu unachofikiria ndio unakuwa , kwa maana kwamba akili ndio source ya kila kitu ambacho kinatokea kwa mwanaadam na ukienda deep kidogo ukaangalia namna akili inavyofanya kazi utabaki mdomo wazi tu kwasababu hadi leo ubongo ndio kiungo ambacho bado ni kigumu kuelewa hata kwenye mafundisho ya dini yanasema akili ndio kiungo cha kwanza kupata uhai na kufanya kazi na kujua mambo kwa ujumla jaribuni kusoma elimu mbali mbali bila kuzuia akili yako utajua vingi sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…