Kati ya muonekano wako na miaka yako nani amezeeka?

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
HOW OLD ARE YOU? (UNA MIAKA MINGAPI?)

Katika somo hili fupi tunajifunza jinsi ya kuuliza umri wa mtu

Tuanze ......

Kuuliza umri wa mtu huwa tunasema: How old are you? Tamka ‘HAU OULD A YUU? – Una miaka mingapi?

Kwenye kujibu huwa tunasema I’m ………… (unataja miaka yako) ikifuatiwa na maneno years old.

TUTAZAME MFANO WA MAZUNGUMZO HAPA:

Wilson: How old are you? (HAU OULD A YUU?) – Una miaka mingapi?

Rachel: I’m twenty one years old. (AM TWENTI WAN YIAZ OULD) – Nina miaka ishirini na moja.

Wakati mwingine, tuweza kuacha maneno years old maana kile tunachokizungumzia kinakuwa tayari kinajulikana.

TUTAZAME MFANO:

Rachel: I’m twenty one. (AM TWENTI WAN) – Nina miaka ishirini na moja.

UFAFANUZI: Katika majibu ya Rachel, tunaona amesema tu “I’m twenty one” bila kumalizia maneno years old. Ni sahihi pia katika lugha ya Kiingereza.

KUULIZA UMRI WA MTU MWINGINE

Tunaweza pia kutaka kuuliza kuhusu umri wa mtu mwingine.

Hapa sema: How old is ………..? (Kisha taja jina la mtu huyo, au unaweza kutumia kiwakilishi/pronoun)

TUTAZAME MFANO:

Wilson: How old is Juma? (HAU OULD IZ JUMA?) – Juma ana miaka mingapi?

Rachel: He is twenty years old. (HI IZ TWENTI YIAZ OULD) – Ana miaka ishirini.

Tunaweza pia kuacha maneno “years old”.

Rachel: He is twenty. (HI IZ TWENTI) – Ana miaka ishirini

MIFANO ZAIDI:

Rachel: How old is she? (HAU OULD IZ SHI?) – Ana miaka mingapi? (wa kike)

Wilson: She is ten years old (SHI IZ TEN YIAZ OULD) – Ana miaka kumi.

Rachel: How old is he? (HAU OULD IZ HI?) – Ana miaka mingapi? (wa kiume)

Wilson: He is twenty two. (HI IZ TWENTI TUU) – Ana miaka ishirini na mbili.

Rachel: How old is your kid? (HAU OULD IZ YUA KID?) – Mwanao ana miaka mingapi?

Wilson: He is three years old. (HI IZ THRII YIAZ OULD) – Ana miaka mitatu.

Wilson: How old is your child? (HAU OULD IZ YOO CHAILD?) – Mtoto wako ana miaka mingapi?

Rachel: She is two. (SHI IZ TUU) – Ana miaka miwili.
 
tafsiri yake siyo unamiaka mingapi, ni una uzee gani mfano unajibu nina uzee wa miaka 10
 
Kichwa cha habari kizuri ila umeshindwa kueleza content vizuri. Ila mimi naonekana ni kijana zaidi ya umri wangu.
 
Back
Top Bottom