Kati ya mwanamke/mwanaume yupi mwenye dharau?

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,834
Kati ya mwanamke na mwanaume nani anakuwa na nyodo zaid anapojua kuwa anapendwa sana?
 
Kwani nawe unaona nani mwenye Nyodo/dharau?
 
Mwana_mume hana nyodo wala dharau ila ni misimamo tofauti-tofauti
 
Mwanamke... akijua unampenda utajuta. Unless kama na yeye anakupenda pia. Lakin mara nyingi wanakuwa ni wasumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…