Kati ya mwanamke/mwanaume yupi mwenye dharau?

Kati ya mwanamke/mwanaume yupi mwenye dharau?

Mibinti tena ile yenye maumbo mabovu isiyojiamini, yenye elimu ndogo ndo huwaga na maringo na nyodo zaidi
 
We ndo muongo wa kwanzaa kwenye hii thread
Usbishe mkuu mimi nimewahi kudate na mabinti warembo, uelewa mkubwa hawakuwa na nyodo tena wengi wao wanajua kupenda
Nikajaribu kimoja cha kijijini kinaelimu kidogo kutoka mkoa flan wa pembezoni kilikuwa kinajisikia hatar.Thereafter niliamua kuchukua mtt wa town mrembo na shule ipo na ndo my wife material having more than 4yrs tuko pouwa Kama tuko honeymoon
 
Back
Top Bottom