Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kabisaaaImezoeleka wanawake ndio wanakuwa na nyodo na dharau wakijua wanapendwa ila kwa sasa hadi wanaume wapo na wakishajua basi hizo nyodo na dharau wanawashinda hata hao wanawake wenyewe.
We ndo muongo wa kwanzaa kwenye hii threadMibinti tena ile yenye maumbo mabovu isiyojiamini, yenye elimu ndogo ndo huwaga na maringo na nyodo zaidi
Usbishe mkuu mimi nimewahi kudate na mabinti warembo, uelewa mkubwa hawakuwa na nyodo tena wengi wao wanajua kupendaWe ndo muongo wa kwanzaa kwenye hii thread