Imezoeleka wanawake ndio wanakuwa na nyodo na dharau wakijua wanapendwa ila kwa sasa hadi wanaume wapo na wakishajua basi hizo nyodo na dharau wanawashinda hata hao wanawake wenyewe.
Usbishe mkuu mimi nimewahi kudate na mabinti warembo, uelewa mkubwa hawakuwa na nyodo tena wengi wao wanajua kupenda
Nikajaribu kimoja cha kijijini kinaelimu kidogo kutoka mkoa flan wa pembezoni kilikuwa kinajisikia hatar.Thereafter niliamua kuchukua mtt wa town mrembo na shule ipo na ndo my wife material having more than 4yrs tuko pouwa Kama tuko honeymoon