Kati ya Mwanamke na Mwanaume ni nani ananufaika zaidi kwenye ndoa?

Mwanamke akishaolewa hana kabila, hana kwao, hana maono anakuwa MSAIDIZI, kama hutaki kaa kwenu/kwako. mwanamke akianza kutafuta maono yake kwenye ndoa, hapo hakuna ndoa. Ndo maana inashauriwa utafute mwanaume mwenye maono yanayo fanana na maono ya maisha ukiolewa ukatoe support kwenye kitu ukipendacho.
 
Kuanza kutafta mnufaika ni nani ni u selfish tu hamna lolote kila mmoja anafaidika na mwenzie ndio maana huamua kua pamoja hakuna fala wa kuishi na mtu bila benefit

Hapo kwenye kukulana ndio kabisa😋
Mnagawana utamu so mnafaidika wote

Nasanzuka (Supapawa voice)
Nionavyo, mwanamke ndiye mnufaika. Wanaume wengi wanadanganywa kisaikolojia sana, ati, "mwanaume halisi ni yule anamtunza mke wake, kumpenzesha...".

Wanaume tuamke tunaibiwa sana mjue!
 
We si mpiga nyeto yote haya umeyajuaje 😅

Hayo mawazo yako ni ya wanaume hohe hahe ewe Supapawa

Mwanaume mwenye nazo na anampenda mwanamke wake yupo proud kumhudumia
 
Ndoa haipasi kumnufaisha mmoja wapo.Ila jambo Moja halikwepeki;endapo mama kasafiri na kuacha familia nyumbani,umhimu wa mama utaonakana wazi kwa mumewe.Aidha endapo baba atasafiri au kuungua na kulazwa ndipo umhimu wa baba utaonekana.Kwa hiyo hakuna anayefaidika
 
Mkuu uliyo yaandika ni sahihi kabisa ila kwenye talaka ndio utajua kua ndoa inamfaidisha nani zaidi.
 
We si mpiga nyeto yote haya umeyajuaje 😅
Nyeto siipigi kwa sababu sina mke, bali kwa sababu yenyewe kwangu ni ibada.
Hayo mawazo yako ni ya wanaume hohe hahe ewe @Supapawa
Hahaha 😂, hii ni ngori!
Mwanaume mwenye nazo na anampenda mwanamke wake yupo proud kumhudumia
Umeona ehh! Wanawake ndio wanaufaika, kwa bahati umekiri mwenyewe 😂

Nani kaweka hiyo kanumi kwamba mwanaume lazima amhudumie mke wake? Kwa nini hawasemi wanandoa wahudumiane?
 
Nyeto siipigi kwa sababu sina mke, bali kwa sababu yenyewe kwangu ni ibada.

Hahaha 😂, hii ni ngori!

Umeona ehh! Wanawake ndio wanaufaika, kwa bahati umekiri mwenyewe 😂

Nani kaweka hiyo kanumi kwamba mwanaume lazima amhudumie mke wake? Kwa nini hawasemi wanandoa wahudumiane?
Kama unataka tuhudumiane basi tuwekeane na zamu ya kupika na mambo mengine halafu nikichelewa kurudi kama wewe usilete makasiriko
 
Back
Top Bottom