hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Aisee
Sawa, tufanye hivyo.Kama unataka tuhudumiane basi tuwekeane na zamu ya kupika na mambo mengine halafu nikichelewa kurudi kama wewe usilete makasiriko
Imeishaaaa hiyoo fire 🔥Sawa, tufanye hivyo.
AweweweKuanza kutafta mnufaika ni nani ni u selfish tu hamna lolote kila mmoja anafaidika na mwenzie ndio maana huamua kua pamoja hakuna fala wa kuishi na mtu bila benefit
Hapo kwenye kukulana ndio kabisa😋
Mnagawana utamu so mnafaidika wote
Nasanzuka (Supapawa voice)
Mie huwa nalipa bill zote 😅😅Awewewe
Utamu wa kwenye kukulana mnafaidi nyinyi Sisi tunawala ila nyingi ndio mna enjoy maana tunalipia guest beer kitimoto na maji ya kunywa plus kuwahonga juuu...
Watu wa Aina yako duniani wamebaki wewe tuu,Mie huwa nalipa bill zote 😅😅
Wow 👌 mi ni wa pekeeWatu wa Aina yako duniani wamebaki wewe tuu,
Hamna kama wewe
Kulia lazima inanogesha tendo 😹😹Mnufaika mkubwa ni Lamomy yeye anataka mwanaume nayeye alie muda wa kujig jig
ShesRise_1 yeye anasema wanafufaika ni wote maanaa huwa muda wa tendo wanakulana.
To me, it's mutual benefit..
Mke anazaa na kutunza familia,
NakubaliiiiiiiiiiWow 👌 mi ni wa pekee
😄Kwahiyo Sisi tunavyopiga bao anadhani ni kazi ndogo ile, kusukuma Kiuno anafikiri tunacheza pale, basi ajipachike mimba mwenyewe, jasho linalotutoka na kichwa kinavyouma ili Tu kuhakikisha yeye na mwanae wanaishi maisha mazuri ni kazi ndogo ile?, kama ni kuzaa hata mbuzi anazaa na wala halalamiki, sote tunategemeana na hakuna anayepata ulaini kwenye Hilo, watu wana take risks ili kulisha familia zao.