Kati ya Mwanamke na Mwanaume ni nani ananufaika zaidi kwenye ndoa?

Awewewe

Utamu wa kwenye kukulana mnafaidi nyinyi Sisi tunawala ila nyingi ndio mna enjoy maana tunalipia guest beer kitimoto na maji ya kunywa plus kuwahonga juuu...
 
Awewewe

Utamu wa kwenye kukulana mnafaidi nyinyi Sisi tunawala ila nyingi ndio mna enjoy maana tunalipia guest beer kitimoto na maji ya kunywa plus kuwahonga juuu...
Mie huwa nalipa bill zote ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Mnufaika mkubwa ni Lamomy yeye anataka mwanaume nayeye alie muda wa kujig jig

ShesRise_1 yeye anasema wanafufaika ni wote maanaa huwa muda wa tendo wanakulana.

To me, it's mutual benefit..

Mke anazaa na kutunza familia,
Kulia lazima inanogesha tendo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Imeandikwa...Ndoa si kwa kila mtu.

Utapewa wa kufanana nawe.

mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.

Mume mpende mkeo ,mke muheshimu mume.

Mwanamke utazaa kwa uchungu ,mwanamme utakula kwa jasho.
 
Kama unaona mwenzako atafaidi sana usioe/usiolewe ili ufaidi mwenyewe!
 
Kwahiyo Sisi tunavyopiga bao anadhani ni kazi ndogo ile, kusukuma Kiuno anafikiri tunacheza pale, basi ajipachike mimba mwenyewe, jasho linalotutoka na kichwa kinavyouma ili Tu kuhakikisha yeye na mwanae wanaishi maisha mazuri ni kazi ndogo ile?, kama ni kuzaa hata mbuzi anazaa na wala halalamiki, sote tunategemeana na hakuna anayepata ulaini kwenye Hilo, watu wana take risks ili kulisha familia zao.
 
๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ