Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Mi naona mwenye hela ndio atafutwe.....
mwenye vocha
nichukukue notes hapa, maana mimi ni mvivu kutafuta watu.. Hua wanahisi nafanya kusudi kumbe ndo nilivyo hivyo
Yani we acha tu😥😥🤦♀️🤦♀️.. ukiachana na mama, wengine hua siwatafutagi kabisa, kila siku naambiwa naringa😓😓[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23] mvivu kwa watu wote ata wale wa muhimu kwako dear?
NDIYOAu inatakiwa iwe effort iwe inaendana kwa both sides?
Umeniwahi.Mi naona mwenye hela ndio atafutwe.....
Mzani ni muhimu ubalansi, sio mwenzio akikaa kimya ndio imeisha hiyo. Mi nikikupenda nitakutafuta sana mpaka pale ntakapoona sasa hapa inatosha.
NDIYO
pale unapoona mzani unaelemea kwako zaidi, yaani usipomtafuta hata mwezi mzima hajali na hakutafuti ng'oo simply unapaswa ujiongeze kuwa huitajiki. Mtu anaekupenda lazima atakutafuta tu.Iyo stage ya kuona inatosha ndo inakuaje?
Imeandikwa wapiInategemea nani yupo busy kwa muda huo ila kiukweli inahitajika mwanaume amuanze mwanamke
🤣🤣🤣🤣UmetishaMi naona mwenye hela ndio atafutwe.....
Au ukiona unatuma meseji unafunguka meseji ndefu mwenzako anajibu kifupi tupale unapoona mzani unaelemea kwako zaidi, yaani usipomtafuta hata mwezi mzima hajali na hakutafuti ng'oo simply unapaswa ujiongeze kuwa huitajiki. Mtu anaekupenda lazima atakutafuta tu.