Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kulingana na Mahusiano menyewe Uncle... Lakini kwa wanaopendana wote ipo hivi...

Kuheshimiana
Kupendana
Kulindana
Kuoana
Kusameheana
Kuchungana
Kujaliana na
KUTAFUTANA

kwahiyo wajibu ni wa wote...
 
Kwenye mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake like everyday ile kumjulia hali na siku yake imeendaje?

Au inatakiwa iwe effort iwe inaendana kwa both sides? Au mmoja wapo ndo anatakiwa awe Ana initiate mawasiliano ili uhusiano uendelee?
Mizani ya penzi haijawahi na haitawahi kubalonce hata siku moja ujue.

Penzi lolote lina master na slave wake bila kujali jinsia, haiba wala mali.

Kwa hiyo, slave ndiye anatakiwa kujikomba na kunyenyekea mahusiano, kila saa na kila dakika simu kwa kauli za kushoboka na kubembeleza.

Watu wengi huangalia penzi kwa haiba ya mtu na ukwasi, mambo ambayo kwenye mapenzi hayapo.

Labda tu niseme kuwa, anayefaidi hapo ni yule slave(anayependa) kuliko master.
 
Back
Top Bottom