Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Mm nna kiberenge changu yan ndio kwanza tumeanza relationship ,mzee haknitafut kbs yan kla sku n mm daah sjui inakuaje hii na huwa sina tabia yakutafuta watu ovyo ila hpa sjui kwkwel na sina nomah ht asponichek aseeh na mm wala sichoki kumchek.

Sjui kama ntakuja kukachoka kbs.
Mkuu ndio ushapenda hivyo, huyo unampenda ila ukimtafuta anarespond vizuri?
 
Kwenye mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake like everyday ile kumjulia hali na siku yake imeendaje?

Au inatakiwa iwe effort iwe inaendana kwa both sides? Au mmoja wapo ndo anatakiwa awe Ana initiate mawasiliano ili uhusiano uendelee?
Kama Huyu ndo ni wewe[emoji15]
Niruhusu mimi Niko hapa, nitakitafuta kila saa
JamiiForums-367081178.jpg
 
Back
Top Bottom