Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mpende akupendaeAcha uhaini wa mahusiano bhn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpende akupendaeAcha uhaini wa mahusiano bhn
Naona nishaanza kukupenda ww nisiwe tu miongoni mwa ma xxx wakoMpende akupendae
Mkuuu kabila gani ilo 😂😂Mimi hapa na tafutwa sana na huyu mwanamke wangu, ananipeleka mbio mbio sana yani sipumziki, siii meseji sii kupigiwa napelekwa mbio kweli inabidi tuu nifate upepo wake huku nimeshikilia akili zangu sawa sawa maana naweza ziacha njiani
Na kwenye kugegedana sasa ni mbio mbio tuu kwa kweli muda wote yeye ananyege yani sipumziki wakuu na kila wakati anataka kuniona . Natamani ni mwambie ila naona acha tuu ni mvumilie japo vihela vya hapa na pale nampampa.
Wakuu hapa napendwa au ndiyo imekaaje ?
Potelea pote😃😃😃Namtafuta tu potelea mbali😄
Binti wa kichagga mkuu, yani ananikimbiza siyo mchezo, mpaka kazini wananiambia sahivi tunakuona uko bussy sana na simu. Haipiti lisa txt zimejaa ndii na usipo jibu ni simu zinapigwaMkuuu kabila gani ilo [emoji23][emoji23]
😂😂Et nivunge kisa nnPotelea pote
😂😂Hizi zimeanza lini Binti wa kichaga kupendelea uterezi mda wote wakati kichwa kinawaza pesaBinti wa kichagga mkuu, yani ananikimbiza siyo mchezo, mpaka kazini wananiambia sahivi tunakuona uko bussy sana na simu. Haipiti lisa txt zimejaa ndii na usipo jibu ni simu zinapigwa
Ndo mapenz hayoMimi hapa na tafutwa sana na huyu mwanamke wangu, ananipeleka mbio mbio sana yani sipumziki, siii meseji sii kupigiwa napelekwa mbio kweli inabidi tuu nifate upepo wake huku nimeshikilia akili zangu sawa sawa maana naweza ziacha njiani
Na kwenye kugegedana sasa ni mbio mbio tuu kwa kweli muda wote yeye ananyege yani sipumziki wakuu na kila wakati anataka kuniona . Natamani ni mwambie ila naona acha tuu ni mvumilie japo vihela vya hapa na pale nampampa.
Wakuu hapa napendwa au ndiyo imekaaje ?
Hapn mapenzi uwanja wa vita😂Ndo mapenz hayo
Hamna jema badae mtuite matapeliHapn mapenzi uwanja wa vita😂
Wanawake wote nyinyi ndio mnajema ata utendewe mazuri mengi vipi baya moja limeharibu mazuri yote kwenu sasa mtendewe kipi boraHamna jema badae mtuite matapeli
Yani hata mm mwenyewe sielewi.. ndiyo maana nauliza hapa napigwa au ndiyo imekaaje mkuu.. maana sijawahi kudate na binti anayenipeleka mbio hivi?[emoji23][emoji23]Hizi zimeanza lini Binti wa kichaga kupendelea uterezi mda wote wakati kichwa kinawaza pesa
😂😂😂Mwangalie manka asikuletee ka mimba ndani ukajua lako kumbe umebambikwa kiiruuuuuuuuuuuuuYani hata mm mwenyewe sielewi.. ndiyo maana nauliza hapa napigwa au ndiyo imekaaje mkuu.. maana sijawahi kudate na binti anayenipeleka mbio hivi?
Ngoja niendelee kuona, ndiyo maana natembea na akili zangu , yani kila siku nayo lala naye na note tarehe na muda bila yeye kujua nafanya kisiri siri..[emoji23][emoji23][emoji23]Mwangalie manka asikuletee ka mimba ndani ukajua lako kumbe umebambikwa kiiruuuuuuuuuuuuu
Hali ni mbaya ktk penzi lako mimi mwanamke akishaanza kuleta miondoko tofautibnajua tyr mapenzi kombo alafu unafiki umewajaaa zaidi kuliko wanavyojielewaNgoja niendelee kuona, ndiyo maana natembea na akili zangu , yani kila siku nayo lala naye na note tarehe na muda bila yeye kujua nafanya kisiri siri..
Ngoja niendele kuona mkuu maana sija notice dalili mbaya kwake tokea niwe naye ila mwendo ni mbio mbio tuuHali ni mbaya ktk penzi lako mimi mwanamke akishaanza kuleta miondoko tofautibnajua tyr mapenzi kombo alafu unafiki umewajaaa zaidi kuliko wanavyojielewa
Chief katka Maisha kuna mmbo mengi na Hali tofauti unaweza kutana Nazo pasipo ww kujua unakuja kushtuka ushacherewa una mda gani uko naeNgoja niendele kuona mkuu maana sija notice dalili mbaya kwake tokea niwe naye ila mwendo ni mbio mbio tuu