Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Ukishawaza hivi au ukiona MTU anawaza namn Hii ujue hapo hakuna Mapenzi (Upendo).

Watu wanaopendana Hawana muda wa kufikiri au kuhesabu wametafutwa au wametafuta Wenza wao mara ngapi
Upo sahihi taikon, automatically mawasiliano ya wapendanao siku zote huwa yanachangiwa na wote sio one sided communication
 
Back
Top Bottom