Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Shilingi ina pande mbili , hakuna upande una thamani tofauti na upande mwingine. Kama ni Jero ni Jero…nikutafutana tu kama kuku na mtetea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliMi naona mwenye hela ndio atafutwe.....
Dada hivi unajua sisi watanzania niwatu wahovyo sana,amini nnakuambia utashangaa mtu anakua serious and helpless kwa mtu wake wakaribu/family members ila anajidai mcheshi na msaada kwa watu wanje...hapa nikatika kuona jinsi ambavyo mtu anainjoy na watu asiowajua humu jf ila kwa watu wake wanaomuhusu analeta mikausho style.The funny thing is,unaenjoy na unatumia muda wako mwingi na watu usiotujua kuliko unaemjua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni dalili ya sonona au?ukute ndio sababu tumetajwa kwenye nchi ambazo wananchi wake hawana furahaDada hivi unajua sisi watanzania niwatu wahovyo sana,amini nnakuambia utashangaa mtu anakua serious and helpless kwa mtu wake wakaribu/family members ila anajidai mcheshi na msaada kwa watu wanje...hapa nikatika kuona jinsi ambavyo mtu anainjoy na watu asiowajua humu jf ila kwa watu wake wanaomuhusu analeta mikausho style.
@Mzee wa kupambania ushauri wako auchukue huyudada utamsaidia sana.asivunge kwa mpenzi wake.wanaume kamili tunahulka yakuvunga.[emoji1787][emoji1787] wiki hii kula tizi mtu wangu wa nguvu.
Unajua iko hivi mwanamume anaweza akawa kakuelewa af anajifanya kama hakushobokei ila kila wakati anaangalia simu yake kama umemtext au kumcall. Sasa wewe anza kumtext Miss u, Mambo my utaona atakavyoreply positively
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai nakwambia
Mmmhhhh.... 😁🤔😁🤔😁mwenye vocha
Ndiyo, hiyo ni biashara.Kwani bro kakuambia anaiuza? Yeye anataka pedeshee.
📌Love ni two way traffic!ukiona mmoja ndio unapambania sana penzi kuliko mwenzio piga chini.sio wako
Ila kukaushiwa inauma ila Ndio njia rahis mno upendo kuporomoka Mimi nidiposumbuliwa nahis sipendwi kabisa 😃😃Ni kweli si muda wote wa kuwasiliana lazima mfanye majukumu yenu mengine pia.
Ila mwenzako akiwa na shauku na wewe halafu wewe haushukwi naye lazima ajisikie vibaya.
Kuna wakati nakuwa busy hata baada ya mida ya mishe zangu manzi wangu huwa anajisikia vibaya anakuwa na kawivu fulani ila tunayaweka sawa tunasonga najitahidi kumcall na viutani vya hapa na pale anachangamka tunasonga
😂😀😀Unamtafuta mtu ambae hajapotea wa kazi gan?
Kabisa story haziishiUnakosaje story kwa mtu unayempenda
Bei sawa na unayouza wewe tu my wangu.....hatupishaniUnauza bei gani?
Mwenye udaga atatafutwaMfyuuuu