Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Nina huyo rafiki angu mmoja content zetu zinatokana na reels. Yan tunatumiana reels 24/7.

Kuna some people wale ambao haupo nao deep content kupatikana ni changamoto.
Nikiona sina mood za kuchat na mtu, kuliko atume sms yenye maneno 100, afu nimjibu na neno moja anilalamikie. Heri nimdanganye nimetingwa tutachat baadae, hapo ndio nitolee.
Hio ni dalili ya mtu ambaye humpendi ila anafosi kingi, au umemuacha bila yeye kujua kashaachwa.
 
Hii kitu aisee hapana.
Sasa mtu kafungua WhatsApp kaiona message alafu kablue tick na kupita hivi.

Hii ni kama dharau, ni heri hata blue tick isionekane ujue hayupo online.
Mimi uwa nasahau 🥹
Naweza nikafungua sms, nikashika kazi ya kufanya niweke simu kando. Nikija shika simu tena nimekusahau 🤣
 
Back
Top Bottom