Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nitakujibu kesho naenda kulalaKwani mpenzi wako Yuko jf?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakujibu kesho naenda kulalaKwani mpenzi wako Yuko jf?
Ata ukiachika si nipo single kuna shida gani 😂Kanishtua huyo wa cdm kha! 😂😂😂
Nisije kuachika bure na mineno yake mikavu
Acha akalaleKama amekuaga basi.
Kaponea chupuchupu.
Sawa bro. Sema akitaka mechi za siri tuko. Hamna atakayejua.Acha akalale
Si umesema una familia?Ata ukiachika si nipo single kuna shida gani 😂
Tuko au upo?Sawa bro. Sema akitaka mechi za siri tuko. Hamna atakayejua.
Hio ni dalili ya mtu ambaye humpendi ila anafosi kingi, au umemuacha bila yeye kujua kashaachwa.Nina huyo rafiki angu mmoja content zetu zinatokana na reels. Yan tunatumiana reels 24/7.
Kuna some people wale ambao haupo nao deep content kupatikana ni changamoto.
Nikiona sina mood za kuchat na mtu, kuliko atume sms yenye maneno 100, afu nimjibu na neno moja anilalamikie. Heri nimdanganye nimetingwa tutachat baadae, hapo ndio nitolee.
Mimi uwa nasahau 🥹Hii kitu aisee hapana.
Sasa mtu kafungua WhatsApp kaiona message alafu kablue tick na kupita hivi.
Hii ni kama dharau, ni heri hata blue tick isionekane ujue hayupo online.
Ndio nnayo familiaSi umesema una familia?
🤣🤣🤣Tuko.Tuko au upo?
Aisee for the first time inakuaga ngumu mpaka mpenzi wako ashuhudie unamfanyia mtu ndo atakuamini.Mimi uwa nasahau 🥹
Naweza nikafungua sms, nikashika kazi ya kufanya niweke simu kando. Nikija shika simu tena nimekusahau 🤣
Wewe au basi bahati yako😐Mimi uwa nasahau 🥹
Naweza nikafungua sms, nikashika kazi ya kufanya niweke simu kando. Nikija shika simu tena nimekusahau 🤣
Sasa unakuwaje single?Ndio nnayo familia
Mimi sipo🤣🤣🤣Tuko.
Familia yangu yaani kaka, dada na wazaziSasa unakuwaje single?
Ok bro. Hata mimi siooMimi sipo
Noma sana.Familia yangu yaani kaka, dada na wazazi
Ndio ndio mkuuOk bro. Hata mimi sioo
Noma sana.
Basi mchukue lamomy apo upunguze ukubwa wa mayai. Yanajaa ujue.Familia yangu yaani kaka, dada na wazazi
ni ngumu sana, sema itabidi wazoeeAisee for the first time inakuaga ngumu mpaka mpenzi wako ashuhudie unamfanyia mtu ndo atakuamini.
Ayawezi jaa nipo chama cha dronedrakeBasi mchukue lamomy apo upunguze ukubwa wa mayai. Yanajaa ujue.