Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kajaribu mkuu ulete mrejesho.

Note: Mapenz ni moja ya sababu iliofanya watu wengi wako Jela leo, Kwa kuua,kudhuru,ubakaji,dhuruma na hata wizi.
Achaneni na Mapenzi hasa yale ya dhati ni mabaya sana.
Mjani hapana siwezi jaribu kama hadi umri huu sijawai tumia.

Mapenzi mabaya lakini matamu
 
Kweli bro Leejay49 asiwe mhuni tu, inawezekana bado ni mdogo , kwasasa afanye kazi kwa bidii mambo yaende. Mapenzi hayahjtaji haraka, ukiharakisha lazima upigwe na tukio.

Alafu Bora males wawe play boys maana wanakuwa wanatafuta, mwanamke akiwa playgirl inakuwa mbaya sana. Kwanza wanaume wakitonyana kuhusu yeye, hatopata mchumba.
Sasa dunia ya leo ukitulia tu ukafunika kombe wanaharamu wanalifunua, Any way awe mwaminifu hata kufa.
 
Sasa dunia ya leo ukitulia tu ukafunika kombe wanaharamu wanalifunua, Any way awe mwaminifu hata kufa.
Awe mwaminifu tu. Kikubwa kuanzia sasa mahusiano yake mapya yawe ya siri, wanawake wengi wanaibiwa na marafiki zao waume kwa kutoa kila kitu kwenye mahusiano changa, mahusiano yakikomaa miaka mitatu hivi ndo unaweza ambia marafiki .
 
Back
Top Bottom