RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Utampata. We tulia tu usiwe na wenge.Nikimpendaga mtu nakua mwaminifu sana kwake, wala hua sina haja na backup sema tu ndo hivyo sijawahi kumpata kwa kuendana na mimi nilivyo
Mungu analetaga tu. Kuwa na subira. Sema sasa utakayempata aisee jitahidi basi au kama ukishindwa, mwambie mapema uko hivyo Ili akubaliane kubeba huo msalaba. Kiufupi asiwe na wivu. Na kama yuko jukwaani itakuwa good zaidi maana kuna experiences nyingi humu.