Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

We
Mtu mnaependana huwa inakuja automatically tu mnatafutana bila kujua nan kamuanza mwenzie au laah,unakuta hata km umelala unaamka unakuta sms km zote"mama ukiamka nicheck nna ubuyu"yaan chap ukiamka ni kumuendea hewan mcheke mpaka bas,ukiwa na mtu mnapendana hiv hata ukila kidogo tu lazima unenepe,moyo unakua na aman na furaha
We jamaa unatonesha vidonda vya watu wana miaka buku hizo huduma hawapati.
 
Mimi linapokuja suala la communication kwenye mahusiano ni zero, Infact niko busy na wahusika pia wanajua hilo.

Mostly jibu langu huwa ni hili
 

Attachments

  • Screenshot_20230927_233246.jpg
    Screenshot_20230927_233246.jpg
    38.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom