Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Blue tick Watu isikieni tu, ile ya mwana tu una mind je ya Mpenzi sasa😭
 

Attachments

  • images.png
    images.png
    2.5 KB · Views: 3
Hakunifanyia kosa lolote mtoto wa watu...ila sasa lawama za kila mda zile kwamba simtafuti, mara simpendi mara nini nini ndo alikua ananichosha na ukizingatia ni distance relationship sijui alikua anawaza anacheatiwa😃😃🤔
Sasa we fanya hivi.
Tafuta siku ambayo wote mtakuwa free, then mchane tu, mwambie we ni mtu wa namna gani Ili asiweke negative thoughts au msikilizie tu anawaza nini, umuulize maswali ya kimtego , ataingia tu kwenye laini labda anawaza uko na mwanaume mwingine, humpi ushirikiano.
 
Sasa we fanya hivi.
Tafuta siku ambayo wote mtakuwa free, then mchane tu au msikilizie tu anawaza nini, umuulize maswali ya kimtego , ataingia tu kwenye laini labda anawaza uko na mwanaume mwingine, humpi ushirikiano.
Huko si kurudi nyuma sasa🤒,,tufanye tu yeye tulishindwana ila nitakayempata tena nitamfanyia haya yote...ila naomba Mungu nimpate wa kuendana na mimi nilivyo😊🤗
 
Back
Top Bottom