Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

🤣🤣 wiki hii kula tizi mtu wangu wa nguvu.

Unajua iko hivi mwanamume anaweza akawa kakuelewa af anajifanya kama hakushobokei ila kila wakati anaangalia simu yake kama umemtext au kumcall. Sasa wewe anza kumtext Miss u, Mambo my utaona atakavyoreply positively

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai nakwambia
Kwakweli ngoja nijitahidi nimfanyie hivyo...ila sasa tatizo nilimwomba tuachane na alikubali🤔🤔... so nimwambie turudiane au😂😂🤥
 
🤣🤣 wiki hii kula tizi mtu wangu wa nguvu.

Unajua iko hivi mwanamume anaweza akawa kakuelewa af anajifanya kama hakushobokei ila kila wakati anaangalia simu yake kama umemtext au kumcall. Sasa wewe anza kumtext Miss u, Mambo my utaona atakavyoreply positively

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai nakwambia
HII kitu ipo sana.
Wanaume sometimes tunafake , sio kwamba hatuangalii, kuna muda unasema ngoja nionyeshe umwamba.

Kwanza mpenzi wako akiwa anacooperate inaleta furaha sana.
 
Back
Top Bottom