Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

unampigia mtu na text juu alafu kimya na yupo anakaa kimya hata 3 days akiwa na shida zake ndio anakutafuta, hiyo ni dharau.

Yani ukiona nakomaa kukutafuta na unanipa less response basi ujue nimekuelewa mno na nikiona hali haichange nabadilika.
Kuna kusahau… mtu anaweza kufungua sms akasahau kujibu 🤣 ama kurespond missed call.

Ingawa hawakosekani wanaofanya kusudi esp pale ambapo hakufeel.
 
Back
Top Bottom