an alpha male
JF-Expert Member
- Mar 28, 2022
- 1,026
- 2,211
Btn the lines unapenda sana watu ambao sio serious sana especially mpenzi awe mcheshi masiala ya hapa na pale inshort asiyetabirika interesting hachoshi...ili uwe huru kujiaachia...usijihisi kama anakubana hiviOfcourse nikiwa Jf nakua huru sana, lakini when comes to watu wanaonifahamu ni changamoto..Namshukuru Mungu marafiki zangu wa mda mrefu na ndugu zangu wananielewa,, shida ipo nikikutana na new friends especially mpenzi inakua kazi sana kunielewa sijui natakiwa kufanya nini yani😓😓
bad enough haujakutana na wa hivyo.
anyway..amna namna ya wewe kufanya chochote ili ubadilike ila unahitaji mtu atakayekuelewa wewe na kukuchukua hivyo ulivyo