Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Ni kweli si muda wote wa kuwasiliana lazima mfanye majukumu yenu mengine pia.

Ila mwenzako akiwa na shauku na wewe halafu wewe haushukwi naye lazima ajisikie vibaya.

Kuna wakati nakuwa busy hata baada ya mida ya mishe zangu manzi wangu huwa anajisikia vibaya anakuwa na kawivu fulani ila tunayaweka sawa tunasonga najitahidi kumcall na viutani vya hapa na pale anachangamka tunasonga
ila kuna my best friends wachache wananielewa how I used to be, kidogo inanipa amani and they are comfortable to call me mda wote wala hawalalamiki...shida nikipataga mpenzi ndo anakuaga hanielewi hadi mtu unamwonea huruma mda wote analalamika simtafuti, naamuaga kumwomba tuachane
 
Hapo mwishoni umeenadika kwa huzunin sna hadi roho imeniuna😥

kama unaweza kuchangia karibia kila mada humu jf....halafu ushindwe kutafuta watu
mi na uhakika hao watu wanashindwa tu ku-communicate vizuri na hisia zako.....

pole sana unapitia mengi
Ndio kilichonishangaza ,ye ni mmoja wa watu active sana humu au loneliness?
 
ila kuna my best friends wachache wananielewa how I used to be, kidogo inanipa amani and they are comfortable to call me mda wote wala hawalalamiki...shida nikipataga mpenzi ndo anakuaga hanielewi hadi mtu unamwonea huruma mda wote analalamika simtafuti, naamuaga kumwomba tuachane
Jitahidi bwana,mbona humu unachat fresh tu
 
Hapo mwishoni umeenadika kwa huzunin sna hadi roho imeniuna😥

kama unaweza kuchangia karibia kila mada humu jf....halafu ushindwe kutafuta watu
mi na uhakika hao watu wanashindwa tu ku-communicate vizuri na hisia zako.....

pole sana unapitia mengi
Ofcourse nikiwa Jf nakua huru sana, lakini when comes to watu wanaonifahamu ni changamoto..Namshukuru Mungu marafiki zangu wa mda mrefu na ndugu zangu wananielewa,, shida ipo nikikutana na new friends especially mpenzi inakua kazi sana kunielewa sijui natakiwa kufanya nini yani😓😓
 
Back
Top Bottom