Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Ndio kilichonishangaza ,ye ni mmoja wa watu active sana humu au loneliness?
ni mpweke na hata mpenzi aliyenaye hayuko interesting sana kwake ndo maana anakuja ku-refresh akili yake huku jf.

ila ni mwnamke ambaye ni charming sana pia anapenda sana ku-comunication ila tu akikutana na mtu anyejua kumfanya aongee.
 
Ni Kweli,hata Mimi Kuna muda nikiwa bored kimbilio langu la kurefresh ni jf
 
Kweli eti sinaga contents 😂😂😂🙈
Nina huyo rafiki angu mmoja content zetu zinatokana na reels. Yan tunatumiana reels 24/7.

Kuna some people wale ambao haupo nao deep content kupatikana ni changamoto.
Nikiona sina mood za kuchat na mtu, kuliko atume sms yenye maneno 100, afu nimjibu na neno moja anilalamikie. Heri nimdanganye nimetingwa tutachat baadae, hapo ndio nitolee.
 
Wewe ni mimi kabisa yani...unaweza ukapiga simu nikaona uvivu kuongea nakwambia niko na kazi kidogo ntakupigia badae halafu ndo inakua basi
 
Back
Top Bottom