Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Mzani ni muhimu ubalansi, sio mwenzio akikaa kimya ndio imeisha hiyo. Mi nikikupenda nitakutafuta sana mpaka pale ntakapoona sasa hapa inatosha.
Wewe ni kama Mimi,nikimpenda mtu huwa sifichi wala sivungi,na hata ukileta cinema Nina uwezo wa kuwa humble Kwa certain period of time,ila nitapoona inatosha huwa inatosha.
 
Wewe ni kama Mimi,nikimpenda mtu huwa sifichi wala sivungi,na hata ukileta cinema Nina uwezo wa kuwa humble Kwa certain period of time,ila nitapoona inatosha huwa inatosha.
Wewe si ni dada yangu tunafanana baadhi ya tabia 😊
Unajua nini dada, mimi huwa nnajali sana hasa nikipenda kweli kuna kipindi niliona kama nakosea lakini dada yangu akaniambia upo sahihi mdogo wangu.
 
Yani itabidi nijitahidi kwakweli...maana nahisi kama uzi nimeandikiwa mimi🤥,, ni mvivu sana halafu hata kwenye texts pia unaweza ukaandika essay halafu nikaishia tu kusema sawa sijui nikoje yani🤒🤒
Sasa hiyo sio poa,unakuwa kama umelazimishwa,mi mpenzi wa namna Yako ananipa tabu sana kudeal nae....na mbona hapa JF upo active muda wote Kwa mwenzio Kwa Nini umedorora?
 
Yaani kama mtu hakupendi hauhitaji hata kutumia nguvu nyingi kujua 🤣
Hamna bhana...unawezakuta mtu unampenda vizuri tu, ila kwenye mawasiliano ndo inakuwaga tatizo cause mimi sinaga stories, yani nikishajua umeamka salama na unaendelea vizuri siwezi kukusumbua sumbua kila mda...ila itabidi nijitahidi nibadilike maana naona huu ni uzi wangu leo😅😅😅
 
Wewe si ni dada yangu tunafanana baadhi ya tabia 😊
Unajua nini dada, mimi huwa nnajali sana hasa nikipenda kweli kuna kipindi niliona kama nakosea lakini dada yangu akaniambia upo sahihi mdogo wangu.
Upo sahihi kumuonyesha mpenzi wako Upendo,ila uwe na moyo thabiti muda wa kuondoka ukifika...Kuna siku atakumbuka japo Upendo wako uliomuonyesha ila ndio itakuwa too late
 
Sasa hiyo sio poa,unakuwa kama umelazimishwa,mi mpenzi wa namna Yako ananipa tabu sana kudeal nae....na mbona hapa JF upo active muda wote Kwa mwenzio Kwa Nini umedorora?
Sipendagi tu usumbufu, nikishjua unaendelea vizuri inatosha na mimi sio mtu wa story sana😃😃... by the way natakiwa nichange sasa naona maana nimepoteza watu wengi sana hadi marafiki
 
Back
Top Bottom