Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

Kati ya Mwanaume na Mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake

The funny thing is,unaenjoy na unatumia muda wako mwingi na watu usiotujua kuliko unaemjua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dada hivi unajua sisi watanzania niwatu wahovyo sana,amini nnakuambia utashangaa mtu anakua serious and helpless kwa mtu wake wakaribu/family members ila anajidai mcheshi na msaada kwa watu wanje...hapa nikatika kuona jinsi ambavyo mtu anainjoy na watu asiowajua humu jf ila kwa watu wake wanaomuhusu analeta mikausho style.
 
Ni dalili ya sonona au?ukute ndio sababu tumetajwa kwenye nchi ambazo wananchi wake hawana furaha
 
[emoji1787][emoji1787] wiki hii kula tizi mtu wangu wa nguvu.

Unajua iko hivi mwanamume anaweza akawa kakuelewa af anajifanya kama hakushobokei ila kila wakati anaangalia simu yake kama umemtext au kumcall. Sasa wewe anza kumtext Miss u, Mambo my utaona atakavyoreply positively

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai nakwambia
@Mzee wa kupambania ushauri wako auchukue huyudada utamsaidia sana.asivunge kwa mpenzi wake.wanaume kamili tunahulka yakuvunga.
 
Mwanamke lazima awe submissive kwenye mapenz akifel hapo imeisha...mi Kuna mwngine amenijaribu huko kupgia kimya na Mimi nmeamua kukausha...Sina muda wa kubembeleza na kuulizia ulizia kwmba kwa Nini hunitxt...ukimywa wake ni jibu tosha kwamba hakufai
 
Ni kweli si muda wote wa kuwasiliana lazima mfanye majukumu yenu mengine pia.

Ila mwenzako akiwa na shauku na wewe halafu wewe haushukwi naye lazima ajisikie vibaya.

Kuna wakati nakuwa busy hata baada ya mida ya mishe zangu manzi wangu huwa anajisikia vibaya anakuwa na kawivu fulani ila tunayaweka sawa tunasonga najitahidi kumcall na viutani vya hapa na pale anachangamka tunasonga
Ila kukaushiwa inauma ila Ndio njia rahis mno upendo kuporomoka Mimi nidiposumbuliwa nahis sipendwi kabisa 😃😃
 
Back
Top Bottom