Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nakusubiri nipo siriazi 😅[emoji23][emoji23],nakuja am on the way twende huko mbali
Kwani kufika Hadi hapo "siriazi"ni bei gani mkuu[emoji23][emoji23]Nakusubiri nipo siriazi [emoji28]
Ni wewe tu bei uliyonayo😂Kwani kufika Hadi hapo "siriazi"ni bei gani mkuu[emoji23][emoji23]
Mizani ya penzi haijawahi na haitawahi kubalonce hata siku moja ujue.Kwenye mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke nani anatakiwa awe wa kwanza kuwa anamtafuta mwenzake like everyday ile kumjulia hali na siku yake imeendaje?
Au inatakiwa iwe effort iwe inaendana kwa both sides? Au mmoja wapo ndo anatakiwa awe Ana initiate mawasiliano ili uhusiano uendelee?
Upo sahihi mkuu.Mzani ni muhimu ubalansi, sio mwenzio akikaa kimya ndio imeisha hiyo. Mi nikikupenda nitakutafuta sana mpaka pale ntakapoona sasa hapa inatosha.