Kati ya nchi 195 duniani ni nchi 31 tu ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja

Kati ya nchi 195 duniani ni nchi 31 tu ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja

Sijaiona Thailand,ufilipino,south Korea na Brazil , Huko ndo vinara wa madaktari na mahosipital ya kubadilisha watu jinsia
 
Hzo nchi siyo za kwenda mamaee umepiga vyombo unasepa na demu kumbe dume lenzako maeeeee
S.Korea,Thailand na ufilipino lazima uwe making, wanaume wa kule wengi hawana ndevu na wana sura za kike za kuvutia[emoji1]
 
Sasa naelewa ni kwa nini China inataka kuirudisha Taiwan...na kwanini marekani inatumia kila namna kupata ushawishi Taiwan.
 
Pamoja na watu kutaka kuonesha kwa sasa kwamba ajenda kubwa ya kisiasa Tanzania ni Ushoga, lakini takwimu zinaonesha kwamba ni nchi 31 tu ulimwenguni pote ambazo ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja na ni nchi moja tu ya Afrika, ambayo ni Afrika ya kusini, ndiyo Imehalalisha ndoa za jinsia moja.

Tujadili jinsi ya kuondokana na Umaskini, Maradhi na ujinga wetu badala ya kuifanya ajenda ya ndoa za jinsia moja kama ndiyo mapambano pekee ya kuikomboa nchi yetu. Nchi zilizopitisha sheria ya kuhalalisha ndoa za jinsia moja ni hizo hapo chini.

1. Mwaka 2000 Bunge la Uholanzi lilipitisha sheria inayoruhusu watu wa Jinsia moja kuoana.

2.Mwaka 2003 Ubeligiji ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za Jinsia moja.

3.Mwaka 2005, Canada ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za Jinsia moja.

4.Mwaka 2005 Hispania ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja.

5. Mwaka 2006 Afrika ya Kusini ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

6. Mwaka 2008 Norway ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

7. Mwaka 2009 Sweden ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

8.Mwaka 2010 Iceland ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

9. Mwaka 2010 Ureno ilipitisha sheria ya Kutambua ndoa za jinsia moa

10. Mwaka 2010 Argentina Ilipitisha Sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

11. Mwaka 2012 Denmark ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

12.Mwaka 2013 Uruguay Ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

13, Mwaka 2013 New zealand ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

14. Mwaka 2013 Ufaransa ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

15, Mwaka 2013 Brazil ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

16. Mwaka 2013 Uingereza na Wales zilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

17. Mwaka 2014 Scotland ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

18. Mwaka 2014 Luxmbourg ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

19. Mwaka 2015 Finland ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

20. Mwaka 2015 Ireland ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

21. Mwaka 2015 Greenland ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

22. Mwaka 2015 Mahakama Kuu Marekani ilitoa hukumu ya kutambua ndoa za jinsia moja

23.Mwaka 2016 Columbia ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

24. Mwaka 2017 Ujerumani ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

25. Mwaka 2017 Malta ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

26. Mwaka 2017 Australia ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

27. Mwaka 2019 Austria ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

28. Mwaka 2019 Taiwan ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

29 Mwaka 2019 Ecuador ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

30.Mwaka 2019 Northern Ireland ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja

31 Mwaka 2020 Costa Rica ilipitisha sheria ya kutambua ndoa za jinsia moja.
Nchi za mabwabwa hizo
 
Sasa naelewa ni kwa nini China inataka kuirudisha Taiwan...na kwanini marekani inatumia kila namna kupata ushawishi Taiwan.
Hapo unataka kupotosha Historia. Unajua ni kwa nini Mwenyekiti Mao alimheshimu sana Mwalimu na kuipa Tanzania Kipaumbele?? Zamani Taiwan ndiyo ilikuwa China!!
 
Ndo maana China mainland Wana haki ya kuivamia Taiwan, Taiwan kuhalalisha ndoa za jinsia moja kwa mgongo wa USA Ni kuhatarisha usalama wa vizazi vya China mainland[emoji26][emoji3525]
We naye msenge tu , Marekani imepitisha lini ndoa za jinsia moja , kma wewe .
Mxieew ,kila kitu Marekani Marekani .
Mkundyu wako , hata basha wako anayekufilimba ni Marekani,
Fvcking Assholes
 
Back
Top Bottom