sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwa nini zambia mkuu?Zambia is the best
Sababu:Kwa nini zambia mkuu?
Yes zambia wapo okay, democracy yao inachanua vema,uchumi wa poor of the poorest unakua, social services zinaboreshwa vema, hope's serikali yangu itaijenga upya T1 ili ishindane na wenzetu wa zambia (T2 ,ambayo inajengwa vema,pale nakonde ni tofauti na tunduma)Sababu:
1)Hawana mikodi kama kwetu
2)Mgeni anakuwa treated equally na mwenyeji
3)Watu wake ni good consumers
4)Kila mtu anamind business zake
5)e.t.c
6)e.t.c
Sema Mimi umri umenitupa ila nilipenda nikaishi kule siyo hapa tz.
Mmh mmh usijaribuKenya
RWANDANchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali)
Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tz
Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi.
Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana kwa mtanzania na mwenyeji ni simple
Huko ataenda kuishi MwiguluNadhani burudi ni sehemu sahihi
Majambazi kama yoteNadhani burudi ni sehemu sahihi