Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

Kati ya nchi zinazotuzunguka, ipi ina mazingira rafiki kwa Mtanzania kuishi kitanzania?

Nchi ambayo hata mtanzania akitoka huishi kijamaa (japo kiukweli hata Tanzania kuna ukabila kwa mbali).

Nchi ambayo angalau kuna amani kama Tanzania

Nchi ambayo waweza kuanzisha hata duka la mahitaji ya nyumbani bila bugudha nyingi endapo ukilipa kodi.

Nchi ambayo suala la uchumba ama kuoana kwa Mtanzania na mwenyeji ni simple
Malawi mkuu!Mzuzu,Brantyire,Lilongwe,Naponela nk kote huko ni Malai
 
Zambia pametulia Kama bongo. Burundi ingefaa sema kila saa doria za wanajeshi Bujumbura zinaogopesha.
 
Back
Top Bottom