Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako?
Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba 1,2,3,4,5,6 na una sababu yoyote ya kuweka huo mtiririko? Kama wewe ni binti unataka kijana awe na nini kati ya hayo mambo sita, kipi ndiyo kiwe kipaombele chake ili uone anafaa kuwa mpenzi wako. Jee na wewe kama binti ungeweka mfuatano upi kwa mambo hayo sita?
Au unaweza kuchagua machache na kusema hayo ndiyo unaona ni ya maana kwenye maisha yako na yanaweza kukusaidia mbele ya safari.