Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sawa kabisa. Ili liwe la maana lilitakiwa liweje?Swali la Kipumbavu. Halina maana.
Lisiwepo maana umeuliza maswali ambayo ni illogical... Stupid questions. Kaa chini fikiria maswali ya msingi uje uulize tutakujibu. Au basi tufikirie na sisi wengine tutafutie maswali ya maana jengefu,yenye akili.Sawa kabisa. Ili liwe la maana lilitakiwa liweje?
Nyie akilini mnawaza ngono sijui mmerogwa wasenger nyie post zenu za kipumbavu SanaHili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako?
Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba 1,2,3,4,5,6 na una sababu yoyote ya kuweka huo mtiririko? Kama wewe ni binti unataka kijana awe na nini kati ya hayo mambo sita, kipi ndiyo kiwe kipaombele chake ili uone anafaa kuwa mpenzi wako. Jee na wewe kama binti ungeweka mfuatano upi kwa mambo hayo sita?
Au unaweza kuchagua machache na kusema hayo ndiyo unaona ni ya maana kwenye maisha yako na yanaweza kukusaidia mbele ya safari.
Nakazia HapaHapaMuulize burna Boy ashatoa ufafanuzi
Halafu wewe huyo huyo ukikuta mada "Demu wangu kanikataa kwa sababu sina pesa" unachangia mpaka kibodi inawaka moto. Haya maswali ni mpaka uwe na ufahamu kujua yamebeba mambo mengi. Humu kuna mambo ya Vumbi la mkongo, Kati ya Pesa na elimu kipi bora na mengineyo mengi tu.Lisiwepo maana umeuliza maswali ambayo ni illogical... Stupid questions. Kaa chini fikiria maswali ya msingi uje uulize tutakujibu. Au basi tufikirie na sisi wengine tutafutie maswali ya maana jengefu,yenye akili.
Pesa, Elimu, Mali, mwili wenye misuli na kazi navyo ni ngono? Mbona unaonesha kwenu mmekuzwa kuona kutukana ni kawaida? Hayo matusi yamekuongezea nini sasa?Nyie akilini mnawaza ngono sijui mmerogwa wasenger nyie post zenu za kipumbavu Sana
Swali la wazi kabisa linaulizwa na kijana aliyetaabika miaka mitano bila ajira na anaishi kwa shemeji yakeNakazia HapaHapa
hahahahaSwali la wazi kabisa linaulizwa na kijana aliyetaabika miaka mitano bila ajira na anaishi kwa shemeji yake
Ndio maana kila siku tozo zinaongezeka na maisha yanazidi kuwa magumu. Hii inatokana na nchi hii kujaa vijana wajinga kama Allen Kilewella.Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako?
Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba 1,2,3,4,5,6 na una sababu yoyote ya kuweka huo mtiririko? Kama wewe ni binti unataka kijana awe na nini kati ya hayo mambo sita, kipi ndiyo kiwe kipaombele chake ili uone anafaa kuwa mpenzi wako. Jee na wewe kama binti ungeweka mfuatano upi kwa mambo hayo sita?
Au unaweza kuchagua machache na kusema hayo ndiyo unaona ni ya maana kwenye maisha yako na yanaweza kukusaidia mbele ya safari.
Mi nimesema. Jamaa hajachangamsha akili kabisa. Kauliza tu maswali ya kipumbavu ya ukilaza. Unaweza muuliza anatakwambia ana degree....🤣Ndio maana kila siku tozo zinaongezeka na maisha yanazidi kuwa magumu. Hii inatokana na nchi hii kujaa vijana wajinga kama Allen Kilewella.
Kuwaza upuuzi tu.
Kabisa aiseee... Tena sio primary school ni shule ya msingi.🤣🤣Au ndo unaturudisha utotoni(debate)
akiwa na degree labda ile ya centigrade ila kama ni za elimu hana akiwa nazo niite maviMi nimesema. Jamaa hajachangamsha akili kabisa. Kauliza tu maswali ya kipumbavu ya ukilaza. Unaweza muuliza anatakwambia ana degree....[emoji1787]